Posts

Showing posts with the label majini

MFAHAMU JINI MAHABA ANAVYOINGIA DALILI MADHARA NA MATIBABU YAKE

Image
MFAHAMU JINI MAHABA KATIKA MAISHA YA MWANADAMU YAMEJAA MITIHANI MINGI INAYOPELEKEA MWANADAMU KUPATA MITIHANI YA KIMAISHA, KIMAUMBILE NA KIAFYA. KATIKA VITU AMBAVYO VINAWATESA WATU WENGI WALIOPO NA WASIOPO KWENYE NDOA, WAUME KWA WANAWAKE NI JINI MAHABA. JINI MAHABA SHEYTWANI ANAYEMJIA MWANADAMU KWA LENGO LA KUFANYA NAE UCHAFU WA ZINAA  WATU WENGI WAMEKUWA WAKISUMBULIWA NA JINI HUYU MPAKA KUSABABISHA KUVUNJIKA KWA NDOA. MTU KUCHUKIA WATU WA JINSIA NYENGINE. KUINGILIWA NA NUKSI NA MAMBO MENGINE.  VIPI JINI HUYU ANAWEZA KUWAINGIA WATU  1.Wanaopenda kulala bila ya nguo au nguo nyepesi sana bila ya kusoma dua hasa nyakati za joto 2.wakati wa kufanya tendo la ndoa na wanandoa kusahau kusoma dua wakati wa tendo{na hapa ndipo huwaingia watu zaidi} 3.kujitazama ktk kioo kwa muda mrefu bila ya kusoma dua na hasa kwa wanaopenda kujitazama wakiwa uchi 4.kuogelea ukiwa uchi katika vyanzo vya maji bila ya dua  5.kutupiwa na wachawI 6. kuingia chooni bila dua  hivyo anaeingia bila ya dua anaweza kukum