MFAHAMU JINI MAHABA ANAVYOINGIA DALILI MADHARA NA MATIBABU YAKE


MFAHAMU JINI MAHABA

KATIKA MAISHA YA MWANADAMU YAMEJAA MITIHANI MINGI INAYOPELEKEA MWANADAMU KUPATA MITIHANI YA KIMAISHA, KIMAUMBILE NA KIAFYA.

KATIKA VITU AMBAVYO VINAWATESA WATU WENGI WALIOPO NA WASIOPO KWENYE NDOA, WAUME KWA WANAWAKE NI JINI MAHABA.

JINI MAHABA SHEYTWANI ANAYEMJIA MWANADAMU KWA LENGO LA KUFANYA NAE UCHAFU WA ZINAA 

WATU WENGI WAMEKUWA WAKISUMBULIWA NA JINI HUYU MPAKA KUSABABISHA KUVUNJIKA KWA NDOA. MTU KUCHUKIA WATU WA JINSIA NYENGINE. KUINGILIWA NA NUKSI NA MAMBO MENGINE. 

VIPI JINI HUYU ANAWEZA KUWAINGIA WATU 

1.Wanaopenda kulala bila ya nguo au nguo nyepesi sana

bila ya kusoma dua hasa nyakati za joto

2.wakati wa kufanya tendo la ndoa na

wanandoa kusahau kusoma dua wakati

wa tendo{na hapa ndipo huwaingia watu

zaidi}

3.kujitazama ktk kioo kwa muda mrefu

bila ya kusoma dua na hasa kwa

wanaopenda kujitazama wakiwa uchi

4.kuogelea ukiwa uchi katika vyanzo vya

maji bila ya dua 

5.kutupiwa na wachawI

6. kuingia chooni bila dua 

hivyo anaeingia bila ya dua anaweza

kukumbwa na majini 

7. kupenda kukojoa miferejini

 DALILI NA MADHARA UNAYOWEZA KUYAPATA IKIWA UMEINGIWA NA JINI HILI NA UKASHINDWA KUMTOA

DALILI ZAKE

majini mahaba huwa na dalili nyingi na

hutofautiana kutegemeana na aina ya jini
alie kuingia zifuatazo ni baadhi ya dalili za jini mahaba kwa uchache

1. ndoto za kufanya jimai mara kwa

mara hasa na mtu unae muheshimu km

kaka dada mama baba nk {si kila ndoto

ya kufanya mapenzi ni dalili ya jini

wakati mwingine ndoto ya kuota

unafanya jimai hadi kufikia mshindo

hutafsiriwa kama kupata wepesi na

mafanikio katika mambo ya muotaji

2. kuharibika ujauzito bila sababu za

kidaktari

3. kuchukia tendo la ndoa kuoa au

kuolewa na hata kumchukia mwenza

wako akiwa karibu nawe na hujihisi

kumpenda sana akiwa mbali

4.ndoto za kuota unazaa kunyonyesha au

kulea mtoto

5. mwanamama kuvurugikiwa siku za

hedhi

6.maumivu makali chini ya kitovu wakati

wa tendo la ndoa au hedhi[hili

husababishwa pia na vitu mbali mbali

km mgoro na baadhi ya bakteria wanao

shambulia viungo vya uzazi

7. kutosikia hamu ya tendo la ndoa bila

sababu za kidaktari

8. ujauzito kutoweka baadhi ya nyakati

na mjamzito kuhisi km hana kabisa

ujauzito

9. kupenda sana maasi na kuchukia

dhikri na ibada

10. mipango kuharibika bila sababu za

msingi

11. kutokuwa na nguvu za kijinsia bila

sababu za kidaktari

12. kujihisi umeonewa hadi unafikia

kulia bila sababu

13. moyo kwenda mbio bila sababu za

kidaktari

14. kifua kuwa kizito km umebeba mzigo

au kichwa

15.kuota ndoto za kweli wakati sio

mchamungu

16.ndoto za kukimbizwa na wanyama

wakali km simba nyoka chui nk

17.kupiga kelele bila sababu na

unashindwa kujizuia

hizi ni baadhi tu ya dalili zipo nyingi

sana

BAADA YA KUFAHAMU KWA UCHACHE DALILI ZA JINI MAHANA SASA TUANGAZIE MADHARA YAKE

jini huyu anapomuingia mwanadamu

huweza kumpatia madhara yafuatayo

1.kuchukia kuoa au kuolewa

2.kuchukia watu wa jinsia tofauti

3. kutopata mtoto

4. kuvurugikiwa mambo yake bila

sababu za msingi

5. gundu, kuchukiwa na watu bila sababu maalumu

kama una dalili hizo basi jua una jini mahaba ambaye anakusababisha matatizo kwenye maisha yako

Sasa  kuna tofauti za majini mahaba na dawa zake pia ni tofauti kulingana na aina ya jini na alivyokuingia. Mfano kama alikuingia choon basi kuna dawa utapatiwa uanatakiwa usonge ugali mdogo uweje kwwnye sahan ya udongo ufinyange matonge saba amabayo utaweza kuyameza bila kutafuna.
Utaenda chooni utameza hayo matonge huko kwa muongozo maalumu wa mtabibu
Kwa haraka tafuta mvuje ujifunge mkononi au wakati wa kulala ulale nayo hii inamzuia kutokuingilia huku ukitafuta dawa rasmi yakumtoa
Fika kwa wataalam waliopo karibu nawe wakuangalie na  wamtoe mara moja

una tatzo la mahusiano, ndoa, biashara, kazi, nk kwa ufanyaji kazi nitumie ujumbe inbox kupitia fb page yetu mtabibu asili tz
Maswali kuhusu mada hii yaulizwe hapa chini

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI