Posts

Showing posts with the label nyota 2022

UTABIRI WA MWAKA MZIMA WA NYOTA YA PUNDA. KIPATO, AFYA, MALI, MAPENZI NA MAMBO YA KUZINGATIA 2022

Image
Watu wa nyota hii ni wale waliozaliwa kuanzia mwez Machi 21 mpaka mwezi April 20 na wasiojua tarehe ni wale wenye majina yanayoanziwa naa herufi A,M,Y Ni mwaka wa uwezekano mpya, na unakuja kwa matumaini ya mwanzo mpya katika robo ya kwanza.  Utakuwa na furaha zaidi wakati robo ya pili itakapofika.  Maisha yako ya kibinafsi na kitaaluma yatakuletea furaha Hata hivyo, katika robo ya tatu, utaanza kutazama mambo kwa mtazamo tofauti.  Rangi yako ya bahati kwa mwaka huu ni pinki pete za bahati kwa watafutaji zatakiwa ziwe na vito vya kijani yaliyochabganywa madini yanayoendana na nyota yako. Kwa wanaweke wanaweza kutumia hata hereni zenye vto vilivyoelezwa si lazma pete ama waweza tembea na vto kwenye safari zako. Hapa uelewe kuna ufafanuzi wa pete niliutoa hivyo vile vito ndivyo vinachanganywa kwa maelezo nilioweka hapo juu. Mwanamke ni pete ya fedha ama dhahabu yategemea na kipato cako. kwa mwanaume itampendeza zaidi na manufaa apate pete ya fedha. Namba ya bahati ni 2 na 6.