KUPUNGUZA UNENE ULIOPITILZA
FAHAMU KUPUNGUZA KITAMBI, MATITI, MIKONO NA MINYAMA UZEMBE Habari yako mpenzi msomaji wa makala hii. Kama ni mfuatiliaji mzuri wa makala zangu basi kuna vitu utakuwa unaongeza kwenue kichwa chako kila uchao juu ya utembo kupunguza mwili kuonheza nguvu za kiume na mambo menhine mengi. Leo nmeamua kuirejea makala ya hii ya kupunguza tumbo kutokana na kupata mrejesho mkubwa juu ya makala haya. Katika dunia tuliyonayo sasa hakika unene unawatesa watu wengi sana kina mama. Wanashindwa kuvaa baadhi ya nguo sababu ya nyama uzembe. FAHAMU KUHUSU TANGAWIZI NA LIMAO KATIKA KUPUNGUZA MWILI. Tangawizi na limao ni viungo vinavyoaminika ktk kukausha mafuta na kuyeyusha mafuta mwilini Leo tutavitumia viungo hivi asilia katika kupunguza ukubwa wa matiti,tumbo, mapaja na mikono iliyoning'inia manyama uzembe mahitaji tangawizi mbichi limao au ndimu na Asali safi JINSI YA KUPUNGUZA TUMBO andaa tangawizi yako imenye vizuri kisha itwangwe au usage kwa blenda kamulia malimao mak