MADHARA YA KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO ZA KISASA NA MATATIZO YAKE
KWA KAWAIDA KABISA KUNA MADHARA MENGI YANAYOTOKANA NA NJIA YA UZAZI WA MPANGO MWANAMKE ANAWEZA AKAPATA MADHARA MAKUBWA YANAYOWEZA KUJA KUMSABABISHIA MAMBO MAKUBWA KAMA KUTOSHIKA UJAUZITO KABISA AU KUZAA KWA OPARESHENI. NA PIA NYONGA HUWEZAKUGEUKA NA KUWA ZA KIUME. KITENDO CHA DAMU YA HEDHI KUBAKI NDANI YA TUMBO HUWEZA KUSABABISHA UCHAFU AMBAO UNAWEZA UKASABABISHA UVIMBE TUMBONI. zamani wazee wetu walikuwa wakitumia za asili ambazo ziliwapa matokeo mazur bila madhara yoyote yake. KUna njia nyingi za kisasa za uzazi wa mpango zenye madhara makubwa kwa mtumiaji. Zifuatazo ni baadhi na madhara yake. MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA Kuna madhara mengi makubwq sana ila fahamu kwa uchahe kuwa kuna usumbufu hedhi, Kuumwa kichwa mara mara Kizungu zungu Kichefu chefu Kuongezeka uzito usiokuwa na faida. MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA Huathiri fuko la uzazi kwa ndan, Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga, Kuumwa kichwa mara mara. Kupata kichefu che