NJIA TATU RAHISI ZA KUMALIZA UVIMBE KWENYE KIZAZI


Uhali gani mpenzi wa makala zetu kupitia mitandao ya kijamii. Tumefanya vzur kwenye makala ya kupunguza unene wa mwili na sehemu zake, kuongeza nguvu za kiume na mambo mengine kama umepitwa unaweza kutembelea kwenye wall yetu utajifunza mengi.


Kwa wale wafuatiliaji wa makala za njia ya uzazi wa mpango za asili utazipata kwa utuo kwenye group la afya ya uzazi kwa njia za asili na ufafanuzi kuhusu matumizi ya nyonyo waweza nitafuta mwwnyeqe nikuelekeze jns ya kutumia achana na makachero wa mitandaoni.

Uvimbe kwenye kizazi kitaalamu hujulikana kama 'uterine fibroid au uterine myoma'. Ni uvimbe ambao hutokea kwenye misuli laini ya mji wa uzazi.

Ugonjwa huu huwapata zaidi wanawake wenye umri zaidi ya miaka 30 hadi 50. Hii inatokana na sababu zinazosababisha ugonjwa huu ambao hukaa kwenye mfuko wa uzazi wa mwanamke.

Kuna vimbe nyingi tumboni lakini Leo tunazungumzia uvimbe katika mfuko wa uzazi wa mwanamke.

ZIFUATAZO NI SABABU ZA UVIMBE 

Kutumia njia za uzazi wa mpango wa kisasa kwa muda MREFU husabanisha uchafu wa damu kukaa ndani hivyo kuzaa donhe na baadae uvimbe 

Sababu hiyo pia husababisha kuziba mirija ya uzazi na baadae tena uvimbe

kutumia mafuta yenye kemikali kwa muda mrefu losheni, uzito na unene kupita kiasi na lishe isiyo na mpangilio mzuri.

Baada ya kufahamu sababu za ugonjwa huu sasa tufahamu dalili za ugonjwa huu. 

kupata damu nyingi sambamba na maumivu wakati wa hedhi, kuumwa miguu kuvimba au kuwaka moto, uzazi wa shida au kutopata kabisa ujauzito. Mimba kutoka Mara kwa Mara, kutokwa na uchafu ukeni, kupata haja ndogo kwa tabu

Hizo ni baadhi tu ya dalili za ugonjwa huu ambao hushambuliwa wanawake wengi duniani kupelekea watu kufanyiwa upasuaji. Lakini hapa nakueleza njia rahisi za kufanya ili kumaliza tatizo hili pasipo upasuaji kuwa makini soma vzuri elewa ndo uulize swali. Zifuatazo ndizo njia za kumaliza tatizo.

NAMNA YA KUTIBU UVIMBE MDOGO UNAOANZA

                       JUISI YA LIMAO 

juice ya limao

Tengeneza juisi ya limao nyumbani kwako katika mazingira mazuri kisha Chukua vjko vwili vya juisi yako kijiko kimoja cha baking soda weka kwenye glass ya robo Lita ya maji kunywa. Fanya hivyo Mara mbili kwa siku kati ya majuma saba hadi Kumi na NNE unapata matokeeo.

                   MAFUTA YA ZAITUNI 

mafuta ya zaitun/olive oil

Mafuta ya zaituni hutumika kuyeyusha madonge ya mafuta na damu chukua kijiko kimoja cha cha zeituni kunywa na juisi ya limao asubuhi kabla ya kunywa kitu chochote

Pia waweza tengeneza chai kwa kutumia majani ya zeituni na ukanywa bila ya kuweka sukari Kunywa Mara moja kwa siku ndani majuma 3 hadi saba

                     SIKI YA TUFAA 

siki ya tufaa au apple venega

weka viwili vya siki ya tufaa kwenye glass yenye maji ya robo litachanganya vizuri kisha kunywa

Au waweza weka kijiko kimoja cha baking soda vijiko viwili vya siki ya tufaa kwenye glass ya maji vuguvugu changanywa kisha kunywa.

baking soda

Utatumia Mara MBL kwa SKU kwa majuma matatu mpaka saba

Usitumie siki ya tufaa bila ya kuichanganya na kitu kingine kama maji.

KWA UVIMBE MKUBWA AMABO UMEANBIWA SHART UPERESHENIWE AU UVIMBE ULIOZDI MWAKA UNAWEZA KUPATIWA DAWA ZIKAKUSAIDIA

ZIPO DAWA ZA KUWEKA KWWNYE UJI NA KUCHUA TUMBONI KWA MUDA WA SIKU 21 MPAKA 44 YATEGEMEA NA UKUBWA WA TATIZO

KWA WAHITAJI 0621442936

PIGA SIMU PIA KAMA UNATUMA UJUMBE BASI WEKA MAELEZO YA KUTOSHA JUMBE FUPI KAMA HABAR HI HELLOW MAMBO SITAZIJIB HESHIMU MUDA WA MTU

Comments

  1. Mimi nasumbuliwa na mvuto upande wa kushoto karibu na fuvu la kiuno , je yanaweza kua ni matatizo gani?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI