TATIZO LA KUKOSA WATOTO KWA WANAWAKE NA WANAUME NA SULUHU YAKE

Mara nyingi kwenye ndoa kukitokea tatizo la kutopata mtoto lawama anapewa mwanamke kuwa ndo chanzo cha tatizo hilo. imejengeka hivyo toka enzi na enzi ila hakuna ukweli wowote tatioz linaweza kuwa kwa yeyote kati ya hawa.

MIMBA INATUNGWAJE

ILI mimba itungwe inatakiwa yai la mama limepevuka na liwe tayari kurutubishwa na manii yaliyokomaa kutoka kwa baba. Watu hawa wanapokutana mwanaume anapomwaga manii yake hupita kwa kasi kwenye mirija ya uzazi kuelekea yalipo mayai ili kuanza urutubishaji

TUKIO HILI LIKIENDA KAMA ILIVYOPANGWA MIMBA HUWEZA KUTUNGWA ILA PAKIWA NA TATIZO SEHEMU YOYOTE MIMBA HAWEZI KUTUNGWA.

SABABU ZINAZOPELEKEA KUTOSHIKA UJAUZITO KWA MWANAMKE

1. kuziba kwa mirija ya uzazi
2. mayai kutopevuka kwa wakati
3. matatizo ya chango
4. majini na ibilisi
5. uzalishaji wa mayai kuwa mdogo pamoja na mambo mengine

SBABU ZA MWANAUME KUKOSA UWEZO WA KURUTUBISHA YAI LA MAMA

1. kukosa nguvu za kiume
2. manii dhaifu
I3. kuumwa kwa muda mrefu
4. majini na maibilis
5. upigaji wa punyeto
6. kufungwa kizazi kichawi pamoja na mambo mengine

Huyu akipatiwa tiba husika kulingana na tatizo lake mambo hukaa sawa pasina shaka yoyote.

ILI KUJUA TATIZO LIPO KWA NANI YAWAPASA MUWE NA USHIRIKIANO KATIKA KUTAFUTA CHANZO CHA TATIZO HILO IKIWA MNASUMBULIWA NA MAIBILISI UTAPATA ISHARA ZIFUATAZO KATIKA NDOTO

kuota unafanya mapenzi na mtu usiyemfahamu au unayemfahamu mara kwa mara hali inayokuoelekea kuhisi raha zaidi kuliko unapokutana na mwenzi wako.

_ kuota unazaa unayonyesha au mji wa kifahari na watu matajiri ambao kindoto unakuwa upo kwenye mahusiano nao

_ kuota upo kwenye sherehe mara kwa mara ukipata ndoto hizi huambatana na ugomvi nyumbani kuchukiana pasina sababu yoyote mtu anaweza akawa na furaha ila akimuina mwenzi wake tu furaha inapotea ghafla.

ukipata ndoto hizo huashiriwa kuwa una jini mahaba au ibilisi ambaye anazuia kupata mtoto endapo atatolewa basi mambo yatakaa sawa

KWA MWANAMKE AMBAYE MIRIJA YAKE IMEZIBA HATA KUPATA HEDHI KWAKE NI MTIHANI ANAWEZA KUJUA KWA DALILI ZIFUATAZO

1. KUPATA HEDHI KWA TABU DAMU KUTOKA KWA SIKU CHACHE TOFAUTI NA ALIVYOZOEA
2. KUPATA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA HEDHI
3. KUUMWA NA TUMBO CHINI YA KITOVU KABLA NA BAADA YA HEDHI
4. HEDHI KUKOMA KABISA
ikifikia hatua ya hedhi kukoma kabisa basi mirija itakuwa imeziba kabisa haiwezi kupitisha chochote.

TIBA YA TATIZO HILO KWANZA PENDA KUTUMIA MAJI YA MOTO KUJICHUA CHINI YA KITOVU UPANDE WA KULIA NA KUSHOTO MARA KWA MARA PILI TAFUTA VITU VIFUATAVYO

1. habbat souda
2. asali
3. babu naji

changanya chemsha kisha tumia kwa kunywa kutwa mara mbili kwa siku tatu.

KWA MWANAMKE AMBAYE HAPEVUSHI MAYAI KWA WAKATI AU ANA MATATIZO YA KUTOPEVUSHA MAYAI AKIPATA HEDHI DAMU YAKE HUWA NYEPESI MNO NA HUWA INAKOSA ILE RANGI HALISI YA DAMU NA HUTOKA KWA WINGI

wakati mwengine mwananke anaweza akajisitiri vzuri lakini kutokana na wepesi wa damu ikatokeza nje visitiri

KUJUA VIZURI TATIZO HILI YAKUPASA KUPATA VIPIMO VYA HALI JUU AU KUMPATA MTAALAMU AMBAYE ANAWEZA KUKUTAMBUA KWA HARAKA

TIBA YA TATIZO HILI LINATIBIKA KITAALAMU NA KIASILI TIBA YA ASILI TAFUTA UWATU CHEMSHA BAADA YA KUMALIZA HEDHI KUNYWA KWA MUDA WA SIKU SABA AU UNAWEZA UKAPATIWA MIZIZI YA MITI YA UZAZI KWA WATAALAMU WA MASUALA YA UZAZI WALIOPO KARIBU NA WEWE.

ukipata dawa sahihi ya tatizo hili hiwez kumaliza miezi minne pasipo kushika ujauzito.

0621442936

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI