Tiba ya mafua na kifua sugu

FAHAMU DAWA ZA UGONJWA WA MAFUA NA KIFUA

MSIMU huu wa kipindi cha mvua kinaambatana na mafua na kifua kwa pamoja.

FAHAMU DAWA RAHISI ZA KUPAMBANA NA KIFUA NA MAFUA

LIMAO

Chukua vjko vwl vya limao na kimoja cha asali pasha moto anywe mgonjwa afanye hvyo mara mbl kwa ck

au unaweza ukaiyengeneza nyingi ukachanganya na tangawizi ukawa unaiweka juani ni nzuri na inasaidia

TANGAWIZI

saga tangawizi yako yakutosha kisha weka maji kiasi pima glass tatu kisha iweke jikoni ichemke mpaka ibak glass mbl

kunywa mara tatu kwa siku kumbuka kuchuja

MANJANO

weka vjko vtatu kwenye kikombe cha maji vuguvugu

kisha weka pilipili matama kjko kmoja weka na asali kijiko kimoja chemsha kwa dakika mbili

tumia kwa kunywa mara tatu kwa ck

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI