Posts

Showing posts with the label urembo

KUONDOA MADOA MICHIRIZI MWILINI

Image
  FAHAMU NJIA TANO MUJARABU ZA KUONDOA MADOA MICHIRIZI NA MAKOVU MWILINI BAADA ya kuongea kuhusiana na ukuzaji wa nywele kutoa chunusi na makunyazi usoni. Sasa tufahamu kuhusiana na kuondokana na Madoa makovu Michirizi na kuipa ngozi yako afya.   Wapo watu wanatumia gjarama kubwa na muda mwingi kumaliza matatzo haya lakini wanaambulia patupu.     Wapo wengine hawana uwezo wa kifedha lakini pia hawana uelewa kuhusiana na vitu asili ambavyo unaweza ukavtumia kumalza tatizo. Leo nakupa njia tano za kuepukana na matatzo nlyoyataja hapo Juu. Km unatattzo moja kat ya hapo Juu chagua njia inayokufaa ambayo ni rahs kwako dumu nayo kwa majuma kadhaa utapata mabadlko     1.MTINDI Kwa wenye Madoa usoni tafuta mtindi safi fanyia masaji kwa dakika 15 hadi nusu SAA kisha ukimaliza OSHA na maji vuguvugu Fanya hvyo kwa majuma kadhaa utapata mabadiliko.         2.JUISI YA LIMAO Kwa madoa ya mwilini pakaa juis ya limao kwa kutumia pamba chovya pamba pakaa kwenye DOA acha kwa dkka Kumi