Posts

Showing posts with the label afya

CHAI YA MPERA KATIKA KUPUNGUZA MWILI

Image
UNA UZITO ULIOPITILIZA ANZA KUTUMIA CHAI HII YA KIJANI YA MPERA makala zilizopita za kupunguza unene tulizungumzia kuhusiana na chai ya kijani katika kupunguza mwili. Baadhi ya chai hizo ni pamoja na chai ya mpera. Katika nchi ya China Mara nyingi watu walioendelea na wanaojali afya zao hutumia chai ya kijani Jinsi gani unaweza kuandaa chai Hii ya mpera andaa majani machanga yasiwe mengi sana weka kwenye maji lita moja kisha chemsha kwa dakika 15 mpaka 20 Ukimaliza ipua iache ipoe kidogo ichuje upate chai Yale majani gator Matumizi Asubuhi kunywa vkombe vya kahawa vtatu mchana vwili jioni kimoja Dumu kwa majuma kadhaa ukifanya hv utapata matokeo mazuri Chai nyengine za kijani Mchachai Ndimu Mstafeli Nk Waliopo kwenye group la tiba asili wanajua hlo Una swali maoni 0621442936 Kwa dawa za kupunguza mwili fanya mawasiliano

MAFUTA YA MRONGE KWA AFYA NA UREMBO WA BINAADAM

Image
FAHAMU FAIDA ZINAZOPATIKANA KWA KUTUMIA MAFUTA YA MRONGE KIAFYA NA UREMBO MARA kadhaa nimekuwa nikiandika makala zinazohusiana na faida za mti wa mronge. Nimeshawahi kuandika juu ya faida za unga, mbegu pamoja na mizizi ya mlonge katika mwIili wa mwanaadamu. Kama ilikupita tembelea wall yangu au ingia group la afya ya uzazi kwa njia za asili hapa facebook utayaona masomo yaliyopita. Kama ni mfuatiliaji wa makala zangu utaona umuhimu wa kufuatilia kila post inayotoka maana inakubadilisha kifikra. MAFUTA YA MRONGE NI NINI Mafuta mronge ni mafuta yaliyotokana na mti wa mronge ambayo yameandaliwa kitaalamu kwa ajili ya matumizi ya kibinaadamu. Mafuya haya unaweza ukayatumia kwa kupikia kama unavyotumia maguta ya korie samli alizeti au mafuta mengine yeyote. Tofuati yake ipo kwenye gharama mafuta haya yana gharama kubwa ukilinganisha na mafuta mengine, ukiweza kumiliki lita moja kwa ajili ya kupikia ujifunge mkanda kweli. FAIDA ZA MAFUTA YA MLONGE kama nilivyozungumza kwenye kichwa ch

Tiba ya mafua na kifua sugu

Image
FAHAMU DAWA ZA UGONJWA WA MAFUA NA KIFUA MSIMU huu wa kipindi cha mvua kinaambatana na mafua na kifua kwa pamoja. FAHAMU DAWA RAHISI ZA KUPAMBANA NA KIFUA NA MAFUA LIMAO Chukua vjko vwl vya limao na kimoja cha asali pasha moto anywe mgonjwa afanye hvyo mara mbl kwa ck au unaweza ukaiyengeneza nyingi ukachanganya na tangawizi ukawa unaiweka juani ni nzuri na inasaidia TANGAWIZI saga tangawizi yako yakutosha kisha weka maji kiasi pima glass tatu kisha iweke jikoni ichemke mpaka ibak glass mbl kunywa mara tatu kwa siku kumbuka kuchuja MANJANO weka vjko vtatu kwenye kikombe cha maji vuguvugu kisha weka pilipili matama kjko kmoja weka na asali kijiko kimoja chemsha kwa dakika mbili tumia kwa kunywa mara tatu kwa ck