Posts

Showing posts with the label ndoto

NDOTO ZA KUWAONA WATU ULIOHITILAFIANA NAO NDOANI, MAHUSIANO, KAZ MAANA NA TAFSIRI ZAKE

Image
KARIBU tana kwenye ukurasa wa Mtabibu ASULI TZ. kwa uchambuzi wa nyota, ndoto, ufafanuzi wa miti, taraaimu na mambo mengi yadunia usiyoyafahamu. Leo nakueletea uchambuzi wa ndoto za kuwaona watu uliohitilafiana nao na kuchana wakija ndotoni wanaleta ishara gani. Kilichonisukuma kuyandaa makala haya baada ya kupokea maswali mengi yakiwa na mlengo moja yote yakiukuza kuhus mtu uliyeachana nae kisha akakujia ndotoni inakuwas na ishara gani. Ndoto hutafsiriwa kwa mazingira ya aliyeota alikuwa kwwnye mqzingira gani lakini pili mazingira yenyewe ya ndoto yapoje. Niliwahi kuzungumza kuwa ukimuona mwenziwako ndotoni anakusaili au anafanya mipango ya kukusaliti kuna ishara mbili noja itakuwa ni mawazo yako dhidi yake lakini pili kuna usiri mwenzio anaufanya kuna kitu anakifanya wewe ukijui yawwza kuwa biashara, kanunua kitu hujui aua ana mpenzi mwingien. Hili swali naulizwa sana majibubyake ni hayo. Tukirud kwenye ndoto za leo niyazigawa katika mafungu matatu kuzitafsr. Ndoto hizi z