Posts

Showing posts with the label Tarasimu

TALASIMU YAKUKIDHI HAJA KUPATA KITU UNACHOKITAKA KWA WAKATI

Image
HUU NI WAQFU WA KILA KITU UNACHOKITAKA NA UKAKIPATA KWA WAKATI TARASIMU hii ni ya kukupa kile unachokitaka kwa wakati. Mfano unataka ndoa, au unataka kukopa pahala, au unataka ulipwe madeni yako chochote kile kasoro shughuli za mapenzi yaana kuvuta na kirejsha. Hii utaiandika siku ya ijumaa kama ni mwanaume angalia saa ya shamsi, kama ni mwanamke iandikwe wakati wa zuhra kwa zafarani nyekundu. Kisha upate kitambaa cha kijan cha hariri ikishaandikwa ipuliziwe udi au mafusho yanayoendana na nyota yako. Chini ya tarasimu hii itaandikwa dhumuni kama unataka ndoa itaandikwa dua au waqf wa ndoa kwa jina muhuiska mtakaji, ikiwa ni ridhi pia itaandikwa dua za kufungua ridhk kwa jina la mtakaji ikiwa ni kukopa kulipwa pia itaandikwa dua ya kutaka kitu kupata kwa wepes zipo kwenye vitabu vya muongozo. Ukishamliza utaiweka kwenye walet yako na utatembea nayo ikiwa mfuko wa kulia. Au niuzuri kama utaivaa mkono wako wa kulia hii ndani ya wiki utapata majibu kwa kile ulichokikusudia. Mwm

DAWA YA MARADHI SUGU YANAYOKUTESA KWA MUDA MREFU TARASIMU HII ITAKUSAIDIA

Image
TARASIMU KWA AJILI YA KUMALIZA UGONJWA SUGU   kama una maradhi sugu yameutesa sana mwili wako umetumia dawa nyingi lakini bado hakuna afuwe fuata taratibu zifuatazo.   Tarasimu hiyo hapo juu utaiandika kwenye sahani ya udongo siku ya ijumaa saa 12 jioni. Matayarisho yake utanunua zafaran ya unga misk nyeupe na maji ya rose.    Utayayusha hiyo zafarani na utaandika tarasimu kwenye sahan  ya dongo. Kisha utayeyusha siku ya pili alfajiri.   Yaani utafuta hayo maandishi kwa maji ambayo utakuwa umeyakinga kwa chini. Au itumbukize hyo saham kwenye bakuli la maji mpaka maandishi yote yatoke.    Matumizi atakunywa mgonjwa kwa siku tatu mara mbili kwa siku. Pia atatumia mizizi ya mnyanyua vizito atachemsha na kunywa kwa siku zote tatu anaanza hyo tarasimu kisha mnaynyua vizito. Kwa mawasiliano +255621442936