Posts

Showing posts with the label afya ya uzazi

UGONJWA WA PID CHANZO DALILI , MADHARA NA SUKUHU YAKE

Image
UFAHAMU UGONJWA WA PID KWA WANAWAKE DALILI MADHARA NA SULUHU. BAADA yakupokea maswali mengi kutokana kwa kina mama kuhusiana na maradhi haya ya PID leo nimeamua kutolea ufafanuzi. Nimepokea simu nyingi na jumbe kupitia whatsap baada ya kuandika ile makala inayohusiana na madhara ya njia za uzazi wa kisasa. PID ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke kama vile, mfuko wa uzazi, mirija ya mayai, vifuko vya mayai, shingo ya kizazi.                 VISABABISHI VYAKE Ugonjwa huu kwa kawaida husababishwa na maambukizi kwa njia ya kujamiiana, na mara nyingi hata magonjwa yanayohusiana na kujamiana huusishwa kama kama vile Pangusa ,UTI, Fangasi, Kisonono, nk. Pia utoaji mimba usiosalama, kuharibika mimba, au kujifungua kwa njia zisizo salama na kuweka vitu ndan ya uke kama vizuizi vya mimba pia huchangia maradhi haya. DALILI ZAKE Dalili za ugonjwa huu huwa kama ifuatavyo: • Maumivu katika tumbo la chini na sehemu za nyonga. • Kutokwa na uchafu mwingi wenye h

FAHAMU NJIA ASILI ZA UZAZI WA MPANGO ZISIZO MADHARA

Image
UZAZI WA MPANGO KWA NJIA RAHISI ZA ASILI     BAADA YA KUFAHAMU MADHARA YATOKANAYO NA KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO WA KISASA SASA TUANGALIE NJIA ASILI ZA KUJIKINGA NA KUPANGA UZAZI PASIPO MADHARA. NJIA HIZI NI SALAMA NA HAZINA MADHARA YOYOTE KWENYE MJI WW UZAZI WA MWANAMKE JITAHDI KUSOMA VIZURI NA KWA UMAKINI MAELEZO YALIYOWEKWA.       Awali ya yote kwanza tujue tofauti kati ya dawa za asili na za kisasa katika kupanga uzazi. Anayetumia njia za sasa asilimia kubwa hazioni ck zake hvyo humpelekea damu ya hedhi kubaki ndani na kuwa kama uchafu ambao baadae huweza kusababisha madhara makubwa.      Madhara anayoweza kuyapata mtu huyu in pamoja na kuziba mirija ya uzazi, kupata uvimbe kwenye mji wa uzazi pamoja na madhara mengine ambayo tumeyazungumza kwwnye makala yakwanza iliyopita. Kama umeikosa hujachelewa waweza itafuta.      Anayetumia njia za asili huweza kuziona siku zake hvyo uchafu hutoka kila mwezi hvyo mirija na mji wa uzazi hubaki salama kabisa. Japo zipo baadhi ya dawa z

UGONJWA WA CHANGO KWA WANAUME NA WANAWAKE

Image
Asilimia kubwa watu hufahamu kuwa chango la uzazi ni ugonjwa unaowapata wanawake tu. Sivyo hivyo ugonjwa huu huwapata mpaka wanaume. Tunapozungumzia ugonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Wanaume hupata wakiwa na umri mdogo zaidi ni moja Kati ya aina za ngiri kwa wanaume. Kwa upande wa wanawake wao hupata pindi wanapovunja ungo. Ugonjwa huu husumbua zaidi kuanzia umri wa miaka 16 na kuendelea. Ukiwahi kuitibu haraka hupona na kukuepusha na madhara utakayoyapata usoni. Baadhi ya madhara makubwa ya ugonjwa huu ni utasa kwa wanawake na kwa wanaume huua nguvu za kiume. Tuangalie baadhi ya dalili na nadhara ya ugonjwa huu kwa pande zote mbili. Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana. Pia mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha dhakar vizuri. Ni vigumu kumpa mimba mwanamke japo co wote. Unawez

MATATIZO YA HEDHI NA SULUHU YAKE

Image
MATATIZO YA HEDHI: Matatizo ya Hedhi yanawagusa moja kwa moja hata hivyo nayo yana tiba yake inayolingana na aina ya tatizo husika. TIBA YA HEDHI ILIYOFUNGA (AMENERRHOEA): Kanuni ya kwanza: Tafuna ufuta kiasi cha kijiko kimoja kila siku mara tatu. Fanya hivyo hadi upate hedhi. Ni bora zaidi kula ufuta kabla ya zile siku ambazo hedhi hutoka na uendelee wakati inapotoka hedhi. Dawa hii ni hatari kwa mwanamke mja mzito, hivyo atahadhari nayo,na tangu hapoyeye haimuhusu. TIBA YA HEDHI ISIYOTOKA VIZURI: Chukua Jirjir (rocket) kijiko kimoja ukoroge ndani ya kikombe cha maji ya moto. Yakishapoa uchuje. Kunywa kikombe kimoja cha kahawa kutwa mara tatu. TIBA YA HEDHI INAYOTOKA KWA WINGI ZAIDI YA ADA: TIBA Kanuni ya kwanza Chukua kijiko kimoja cha maua ya Babunaji (Chamomile) ukoroge ndani ya kikombe kimoja cha maji ya moto. Yakishapoa, unywe kikombe kimoja kutwa mara tatu kabla ya kula. TIBA YA MAUMIVU YA HEDHI YANAYOTOKA KIDOGOKIDOGO (DYSMENORRHOEA) : Tiba: Chukua Nanaa na utayarishe