Posts

Showing posts with the label nyota na tabia zake

UCHAMBUZI WA NYOTA, RANGI, SIKU, PETE ZA BAHAT, MAFANIKIO NA MAPENZI 'NYOTA YA MSHALE'

Image
HUU ni mfululizo wa cuambuzi za nyota kuhusiana na siku rangi za bahati ushirikiano katulika biashara na mapenzi pamoja na pete za bahati. Leo tunazungumzia nyota ya mshale ikiwa ni nyota ya tisa katika idadi ya nyota 12 za uzawa. Anayeekuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ. Watu wa nyota hii ni wale waliozaliwa Novemba 23 mpaka 20 Disemba. Ufafanuzi ni wote waluozaliwa kuanzia tarhe 23,24,25 mpaka mwisho wa mwez Novemba na kuanzia tarahe 1,2,3,4 mpaka tarahe 20 mwezi Disemba. Wale wasiojua tarahe zao za kuzaliwa basi wale wenye majina yanayoanziwa na heruf I na U     ASILI, SIKU, RANGI NA VITO VYA BAHATI Asili yao ni moto, jinsia yake ni dume Siku yao ya Bahati ni Alkhamisi. Siku mbaya ni Jumatatu na Jumanne Namba yao ya Bahati ni 5 au 7, Sayari yao ni Mushtara. Malaika wake anaitwa  Israfeel na Jini anayetawala alkhamisi anaitwa Shamhuurush Kadhi . Rangi zao ni Bluu na Bluu iliyokolea.  Wenye nyota hii wanatakiwa wapake nyumba zao au vyumba vyao au sehemu zao za biashar