Posts

Showing posts with the label nyota2022

UTABIRI WA MWAKA MZIMA NYOTA YA MAPACHA, AFYA, MAPENZI, MALI NA MAZINGATIO 2022

Image
Watu wa nyota hii ni wale waliozaliwa kuanzia Mwezi Mei 21 mpaka Mwezi Juni 20 wasiojua tarehe ni watu wenye majina yanayoanziwa na heruf C,O Mwaka huu 2022 utakuwa na manufaa kwako, mafanikio yapo na unaweza kupiga hatua kimendeleo. Sehemu yako kazi hakutakuwa na matukio makubwa ya kuogofya au kuvunja moyo. Yuwatakiwa kupanga mipango unayoamini itakutowa kimaisha. Miez ya mwanzo itakuwa mizue sana kwako katika mafanikio. Kuelekea mwisho wa mwaka ndipo kidogo mambo yanawezq kugeuka na kuwa mabaya ila jihadhari na wekq akiba ya fedha hali inaweza kuwa mbaya kwako. Kwa watu wanaotumia taaluma zao bimaana walioajiriwakwa taaluma maalum mwaka huu yatakiwa utymie nguvu nyingi ili kujihakikisha unapanda nafasi inaonesha utaandamwa na maneno eneo lako la kazi. Mwisho ukafanyiwa hujuma kitolewa pahala ulipo ukiona maneno yameanza vikao dhidi yako vimeanza chukua hatua mapema akuanzie mmalize.  Kuna ishara ya wanafunzi kupata nafais za kujiendeleza kimasomo mwaka huu. Kuna safari za

UTABIRI WA MWAKA MZIMA NYOTA NG'OMBE MATUKIO, AFYA, MAPENZ, MALI NA MAZINGATIO 2022

Image
Watu wa Nyota hii ni wale waliozaliwa kuanzia mwezi April 21 mpaka May 20 wasiojua tarahe ni wale wenye majina yanayoanziwa na heruf B,N,Z Mwaka huu utakuwa mzuri kwako katika utafutahi wako wa maisha japokuwa kutakuwa na changamoto pia za hapa na pale ila yatakiwa usikate tamaa. Utakuwa na furaha kwani kwani kuna mipango yako ya muda mrefu inawnda kukamikika, kuna tija na mafanikio makubwa unaweza kuyaona katika vipndi tofaut. Mwaka utajigawa katika vipindi vitatu vikubwa kipindi cha kwanza miezi ya mwanzo haitakuwa nzuri sana utatumia nguvu nyingi katika mampambano na utaoata kiasi fulani cha kukusaidia kuendeleza harakat zako. Kipindi cha pili mambo yatakuwa mepesi sana na ndicho kipindi cha wewe kufanya maendeleo ya uwekezaji kipindi hicho kila utakachokifanya kitakuwa na tija na manufaa utasikikizwa sana na watu na hata kukopeshwa yuwaweza ama kupewa kitu cha faida. Kuelekea mwisho unaweza kukumbwa na maradhi mabaya ama watu wako karibu kukumbwa na shida ambayo utakufa