UTABIRI WA MWAKA MZIMA NYOTA YA MAPACHA, AFYA, MAPENZI, MALI NA MAZINGATIO 2022



Watu wa nyota hii ni wale waliozaliwa kuanzia Mwezi Mei 21 mpaka Mwezi Juni 20 wasiojua tarehe ni watu wenye majina yanayoanziwa na heruf C,O


Mwaka huu 2022 utakuwa na manufaa kwako, mafanikio yapo na unaweza kupiga hatua kimendeleo. Sehemu yako kazi hakutakuwa na matukio makubwa ya kuogofya au kuvunja moyo. Yuwatakiwa kupanga mipango unayoamini itakutowa kimaisha. Miez ya mwanzo itakuwa mizue sana kwako katika mafanikio. Kuelekea mwisho wa mwaka ndipo kidogo mambo yanawezq kugeuka na kuwa mabaya ila jihadhari na wekq akiba ya fedha hali inaweza kuwa mbaya kwako.

Kwa watu wanaotumia taaluma zao bimaana walioajiriwakwa taaluma maalum mwaka huu yatakiwa utymie nguvu nyingi ili kujihakikisha unapanda nafasi inaonesha utaandamwa na maneno eneo lako la kazi. Mwisho ukafanyiwa hujuma kitolewa pahala ulipo ukiona maneno yameanza vikao dhidi yako vimeanza chukua hatua mapema akuanzie mmalize. 

Kuna ishara ya wanafunzi kupata nafais za kujiendeleza kimasomo mwaka huu. Kuna safari za nje kwa wale wanaosafiri pia utajifunza jambo jipya huko kwa wanafunzi. Kwa wanaotoka kikazi unawwza kubadilisha maisha yako utakaporudi

Rangi yako ya bahati mwaka huu ni rangi ya Maroon, namba za bahati ni 1na 4, miezi yako ya bahati ndani ya mwaka huu ni February, Machi, Agost na Octoba. 

       UPANDE WA KIPATO NA UTAFUTAJI

Kipato utakachokipata mwaka huu kinaweza kukusogeza mbele kimaisha, unaweza kuanzisha mrad moya ama kutimiza ndoto zako ulizojiwekea. Kama mfanya biahsra basi kuanzia mwez wa tatu utakuwa na faida kubwa sana pesa utajayoipata isevu kwa ajili kukuendeleza usiitumie vibaya unaweza usiipate tena.

Mwez wa pili huwenda usiwe mzuri na katikati ya mwaka na mwishon kunawwza ukakumbwa dhoruba ya kuibiwa ama kutapeliqa au kuwa na hali ngumu kiuchumi.

      MAHUSIANO YA KIFAMILIA NA AFYA

mahusiano yako na familia yako yatainarika na kuwa mazuri mwaka huu. Kuna ishara ya kukutana kuzindua makazi mapya, hivyo miongoni mwenu kuna mtu atahamia makazi yake mapya aliyoyajenga kwa muda mrefu. Hivyo ukaribu wako utakuwa na tija na kujifunza vtu vipya.

Upande wa afya hautakuwa vibaya kiafya japo kuna ishara ya watu wako karb hasa wwnye umri mkubwa wazeewqnaweza kuoata maradhi ya kuchosha mwili hasa katikati ya mwaka.

Unashauriwa kuzingatia makulaji yako mwaka huu. Usiwache mwili ukuburuze hivyo jitajd kufanya mazoez mepes

               UPANDE WA MAPENZI

Mapenzi ya kindoa yatakuwa mazuri sana hakutakuwa na buguza na pia kutakuwa na fursa kupitia maelewano yenu. Ugomvi au changamoto yoyote isipotatuliwa inaweA kusababisha mikwamo na mapenzi yakaingia dosar. Wanaotafuta wachumba mwaka ni mzuri unaweza kupata na kufunga ndoa kabisa.

Walioachika mpunguze jeuri na kujiona tuwajua kila kitu una nafasi ya kurejea kama utarekebisha makosa yako na kuapa kutorejea. Maoenz yatafungamana na familia hivyo muwe na maelewano ma,ur kwa wageni watakaowatembelea hasa kwa wale waliopo ndoani

KWA SHIDA YOYOTE YA NYOTA,  BISHARA, KAZI MAPENZ, NGUVU ZA KIUME UZAZI, KUKUZA DHAKAR CHANGO NK

+255621442936

JITAHD KUPIGA SIMU IKIWA UNATUMA UJUMBE BASI WEKA MAELWZO YA KUTOSHA



Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI