UTABIRI WA MWAKA MZIMA WA NYOTA YA PUNDA. KIPATO, AFYA, MALI, MAPENZI NA MAMBO YA KUZINGATIA 2022


Watu wa nyota hii ni wale waliozaliwa kuanzia mwez Machi 21 mpaka mwezi April 20 na wasiojua tarehe ni wale wenye majina yanayoanziwa naa herufi A,M,Y

Ni mwaka wa uwezekano mpya, na unakuja kwa matumaini ya mwanzo mpya katika robo ya kwanza.  Utakuwa na furaha zaidi wakati robo ya pili itakapofika.  Maisha yako ya kibinafsi na kitaaluma yatakuletea furaha Hata hivyo, katika robo ya tatu, utaanza kutazama mambo kwa mtazamo tofauti. 

Rangi yako ya bahati kwa mwaka huu ni pinki pete za bahati kwa watafutaji zatakiwa ziwe na vito vya kijani yaliyochabganywa madini yanayoendana na nyota yako. Kwa wanaweke wanaweza kutumia hata hereni zenye vto vilivyoelezwa si lazma pete ama waweza tembea na vto kwenye safari zako. Hapa uelewe kuna ufafanuzi wa pete niliutoa hivyo vile vito ndivyo vinachanganywa kwa maelezo nilioweka hapo juu. Mwanamke ni pete ya fedha ama dhahabu yategemea na kipato cako. kwa mwanaume itampendeza zaidi na manufaa apate pete ya fedha. Namba ya bahati ni 2 na 6. Miezi yako mizuri na yenye bahati kwa mwaka huu ni mwezi January, Julai na Novemba tarehe 17 mwez wa tatu kuna heri zaidi kwako hivyo ni vyema utazingatia hayo.

          MAMBO YA UTAFUTAJI RIDHIKI NA FEDHA

Mwaka huu pato lako litakuwa mara dufu na una uwezo wa kuanzisha mradi mpya ikiwa utaounguza matumizi yasiyo na lazima. Unategemea sana kusaidia watu kifedha hivyo huu mwaka kuna fwdha utaitumia kukidhi haja za watu. Kuna ishara ya kupata fedha kwwnye vyanzo usivyovitegemea hivyo kwa kuwa ni mtu unaejua vtu vingi jambo lolote lile utakaloitiwa ambalo unajua utanufaika nalo basi jitahd uende.

Una nafasi kubwa ya kutumia elimu bimaana taaluma uliyonayo inawwza kukupa fedha mwaka huu. Pia kwa wwnye vipaji hasa vijana wana nafasi ya kufanya makubwa kupitia vipaji vyao. Milango ya safari za nje ipo waz hasa kwa wale wanaohitaji kutoka kwenda kufanya kazi zingatia ufafanuzi wa miezi ya bahati kwako kwa mwaka huu.

          MASHIRIKIANO NA UKARIBU FAMILIA

Mwaka wa 2022 utakuwa wa mafanikio kwako na kwa familia yako kwani kutakuwa na hali ya utulivu na uchangamfu pande zote.  Kunaweza kuwa na migongano kati yako na wanafamilia wengine kufikia mwisho wa mwaka.  Hivyo jitahd kujitengea na ndugu pale unapoona mwaka waelekea ukingoni. Mwanzon mwa mwaka utatafutwa sana kusaidia watu misaada ya kifedha ama ushauri wewe ni mtu muhimu kwa sasa hapa kwa wale waliovuka miaka 30 chini ya hapo unaweza kuandamwa sana manyanyaso na maneno ya karaha ila usivunjike moyo kuna nusra inakuja.

             MIPANGALIO YA AFYA MWAKA

Kama kuna ugonjwa wa muda mref ama yuwauguliwa unaweza kupona ama tahfif ikapatikana. Ila itachukua mudamaana mwili wako si mwepes kuumwa na ukipata maradhi makubwa kutoka inachukua muda. Unashauriwa kuchangamsha mwili wako kwa michezo kama kukimbia kuruka kamba na yoga.

Penda vyakula vya majani sana mbogamboga na matunda. Nyama nyekundu ila samaki itakuwa vyema zaidi. Penda kunywa vinywaji halisi kwa ajili ya kurekebisha afya yako na mzunguko wa damu.

                MAHUSIANO YA KIMAPENZI

Katika mwaka huu mapenzi yanaweza kuwa katika kilele chake.  Wasio na wenzi wana uwezekano mkubwa wa kupendana.  Kadiri mwaka unavyosonga, kuna uwezekano wa wewe kufunga pingu za maisha kufikia robo ya tatu kwa baraka za familia yako. Mabadiliko ya kihisia katika maisha yako ya kimapenzi yanaweza kutokea katika robo ya tatu ya mwaka wa 2022. Kufuatilia mafanikio yako yawezekana ukawa na mahusiano na zaidi ya mtu mmoja yatakiwa uwe makini.

+255621442936

KWA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA, MAPENZI, KAZI, KESI, NGUVU ZA KIUME UZAZI KUKUZA ZAKAR PIGA NAMBA HIZO IKIWA UNATUMA UJUMBE BASI WEKA MAELEZO YA KUTOSHA IKIWEMO JINA ULPO NA SHIDA HUSIKA JUMBE FUPI SITAZIJIB HESHIMU MUDA WA MTU

        

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI