TABIA ZA NYOTA ZINAZOENDANA KATIKA MAPENZ


PAMOJA na darasa zote ninazotoa kuhusiana na masuala ya Nyota. Kutambua nyota yako tabia zake siku nzur na mbaya biahsra gan ufanye nani ushirikiane nae lakini bado nmekuwa nikiandamwa na maswali ya namna hii kwa ili nifanikiwe niwe na nani sasa soma hii makala kwa utulivu itajifunza kitu hapa darasa hizi zinaletwa kwako na Mtabibu ASILI TZ.


Hapa sitaongea ufafanuzi wa nyota kama mpaka leo bado hujajua group lako ukimaliza kusoma makala haya shuka makala za chini nmeshaeleza kwa uref kila kitu. Kuna tofaut kati ya mashirikiano na ndoa, lazima tujue hili mapema kun masuala ya kibiahsra masuala ya mapenzi na ndoa yenyewe ikiwa unataka kuingia kwenye ndoa basi ni lazima upitia hizi hatua nitakazoziweka hapa.

Kwanza Nyota zenyewe zipo kumi na mbili kuanzia kwa Punda nyota ya Kwnza mpaka Nyota ya Samaki 12. Hizi Nyota zimegawanyika katika makundi makuu manne. Ambayo ni MOTO, MAJI, UPEPO, UDONDO. Makundi haya tunayaita tabia za Nyota hapa ndipo unapopata mtu wa kushirkiana nae wala halihitaji mahesabu utaangalia tu Nyota yako ipo wapi na unatakiwa ushirikiane na watu wa tabia za kundi gani.

Formula rahisi ili MOTO uwake unahitaji UPEPO kwamaana hiyo watu wa moto wanaendana na watu wa UPEPO. na watu wa UPEPO wanaendana na watu wa MOTO. Ukipanda kitu kwenye UDONGO ili kimee au kiote kinahtaji MAJI. hivyo watu wa UDONGO wao wanaendana na watu MAJI halikadhalika watu MAJI wanaendana na UDONGO. MOTO ukiutia maji au udongo utaziama hivyo watu wa MOTO hawaendan na MAJI wala udongo.

Halikadhalika UPEPO haeaendani na MAJI wala UDONGO. MAJI haendani na MOTO wala UPEPO.

MAKUNDI YA NYOTA  KITABIA ZAO

1.MOTO Punda, Simba, Mshale
2.MAJI   Samaki, Kaa,Nge
3.UDONGO Mbuzi, Ng'ombe,Mashuke
4.UPEPO  Mapacha, Mizani,Ndoo

Kutokana na maelezo niliyoyaweka hapo juu utaangalia nyota yako utaangalia kundi la tabia kisha utaangalia kundi linaloendana. Maana yake ni hv kama kundi lako ni Maji kama utapata maji mwenzio maisha yatakuwa wastan katika mashirikiano ya biashara ili upate faida yatakiwa upata watu wa udongo. 

Halikadhalika kwa makundimengine. Sasa kwenye masuala ya ndoa huwa tofaut kidogo sababu zinatumika hesabu za kitaalam na uchambuzi wake ni wakitalaam sana na si wataalam wote wanaujua ni watu waliobobea kwenye Astronomy bimaana masuala ya Nujumu. Hapa kinachotumika ni majina wanandoa na wazazi wao itapekuliwa kuangaliwa vtu vingi mpaka kupata majib ya siku na saa harus rangi za mavaz ya ndoa na shereha yenyewe kwa ujumla.

Ushawah kusikia ndoa ni leo lakn mtu anawah saa 12 anaoa kisha anaondoka mchana anafuata mke tu. Panakuwa pahsaangaliwa na pameshaonekana muda huo sio wa kuoa oa mapema kachukue muda huu kuna vtu vinasoviwa muda huo. Ukikosea hapa umaua formula nzima ya utafutaji wako ridhk biahsra na hutaifurahia hyo ndoa.

Kuna mitihan mengine katika maisha au ndoa huja moja kwa moja kutokana na Nyota yako. Mfano watu wa Punda maisha yao ya ukuaji hayatakuwa yakunyooka sana watahama hama kulelewa. Punda katika elim wana upeo mkubwa wa kifanya jambo Nyota yao itawasaidia watu wengine kwanza. Katika Mapenz utakuwa na mtu wa kwanza utaish nae utampenda lakini atakudharau na hautakuwa na manufaa nae.

Dawa ni kumuacha utaumia utapata wa pili ambae huyu ndiye atakuwa na maendeleao nawewe siri kubwa muendane heruf za majina mfano wewe uzawa ni Punda ila jina ni Joseph mtafute Jane kama we Ally mtafute Asha. Hii ni siri ya nyota ya Punda kama unapitia mitihan wakat huu vumilia tu mbele kuna manufaa ndiyo tabia ya Nyota yako ilivyo.

Ukikosea kuoa kuolewa utapata na mitihan ya maradhi kufilisika utapata shida ya uzazi utazunguka kutafuta dawa sana ila chanzo ni hapo ulipokosea. Pili tarahe za ufungaji harusi muzingalie sana kama haziendan ghairisha angalia siku njema kwako. Hii inaitwa manazir ya saa. Mambo haya si lazima wewe kuyaamini ila yatapokuja kukuta kujua ulpokosea mpaka ukutane na wataalam wa Nujumu kama nilivyoeleza hapo juu.

MAMBO YA KUZINGATIA CHAMBUZI ZA NYOTA NILISHAZIZUNGUMZIA UKIONA NI NGUMU KWAKO KUSOMA POST ZILIZOPITA NTUMIE UJUMBE INBOX ANDIKA TARHE NA MWEZ ULIOZALIWA ILA HILI UTANILPA SABAB NISHATOA MAELEZO KAZI YAKO NINKUSOMA TU. IKIWA UNA TATZO LOLOTE KWENYE NDOA AU NYOTA BIAHSRA KAZI NGUVU ZA KIUME UZAZI BIAHSRA NK NIACHIE UJUMBE INBOX

+255621442936

Whtsp group ni la malpo






Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI