NUNGUNUNGU FAIDA ZAKE NA ANAVYOTUMIKA KATIKA MATIBABU YA ASILI



KATIKA tiba leo tutamzungumzia mnyama anayetambulika kwa jina la Nungunungu. Kuna mti unaitwa mnungunungu lakini pia kuna mnyama anaitwa nungunungu anaishi porini ana asili ya kuzungukwa na miiba kwenye kiwiliwili chake. Mnyama huyu anatumia miiba yake kama silaha ya kupambana na adui wakati akishambuliwa hurusha ile miiba yake kumchoma adui. Leo tutaangalia faida na matumizi yake katika matibabu ya asili.


Ni nadra sana kukutana na mnyama huyu kutokana na aina yake ya maisha jinsi anavyotafuta chakuka chake hukaa sana vichakani. Asili hiyo huifanya miiba yake kutumika kwenye kinga dhidi ya maadui na wachawi. Ikiwa utapata viingira 'madawa ya kinga' vya kinga ya nyumba ukatumia na unga wa mwiba wa mnyama huyu ikiwa mwanga atanasa basi atakuwa anachomwachomwa mwilini mwake basi utamkuta akihangaika asubu nyumban kwako. Hii ni shughuli ya kitaalam zaid.

Mwiba wa nungunungu umsaidia mtu  anayetokwa na damu  puani basi choma mwiba alaf ajifukize mgonjwa kisha atumie  na usembe wake kunusa puani. Ikiwa mgonjwa ana tatizo kubwa atumie kww muda wq siku tatu mpaka saba. 

 Mwiba huu utumika kwa wamama ambao awatoi maziwa. Chemsha miba hii mwagia kwenye kinu uyo mama ainamie mvuke umuingie kichwan na awe kifua wazi maziwa yatatoka. Jinsi yq kuinamia ajifunike na shuka nzito mfano wa nyungu. Pia ikiwa mama maziwa yake yanamuuma yale yaliyopigiwa chafya na mtoto wakati wa kunyonya chukua mwiba fanya ishara kama unachoma kwenye nyonyo mara saba ugusishe na ngozi.

Wanawake wanaopata hedhi isiyokata, tafuta majani ya mbaazi mkongwe na mzizi wake. Chukua majani pondaponda yawe laini kisha yapashe moto kama unayakaanga uistie maji kisha utachoma mwiba wa nungunungu uungue uponde upate unga wake. Utachanganya vyote majani na huo unga kishaa utaweka juu ya pedi au kitambaa utavaa na nyupi yako kwa juu.

Kisha ule mzizi utauchemsha na chumvi ya mawe ya bahar utakunywa kikombe kidogo mara mbili kwa siku ndani ya siku tatu mpaka saba inategemea na ukongwe wa tatizo. Fanya mara nyingi ili upate matokeo usifanye kwa kujaribu.

Kwa wenye matatizo ya uzazi ya muda mref umekula sana dawa na ushatibiwa sana hakuna jibu dawa hii ni ni mujarab mzizi ya kikulagembe na miti mingine minne na kwato za huyu mnyama zinachemsha. Matumizi yake kidogo ni hatar kuweka wazi itoshe kusema hvyo kwa mgonjwa atapatiwa dawa.

Mwiba wake unatumika kwenye masuala ya mapenzi, kutia watu vichomi uziwi upofu wa kiini macho unatia ganzi kuna vtu siwez kuviongea yale yanayoongeleka kama kuhusu mapenzi nitaweka whatsp group kwa hayo niloyotmyatoa ikiwa si mtu wa shukuran hata upewe bahar na meli yake bado utataman kiboti.

Una tatzo lolote la uzazi, nyota, nguvu za kiume, kukuza dhakar, biashara, mapenzi, kesi, kuibiwa nk niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whtsp group ni la malpo

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI