MILANGO YA MARADHI YA KILA NYOTA



NIMEWAHI kuzungumza kila nyota mambo yanayowahusu ikiwemo siku za bahati, watu wakushirikiano nao, maisha ya ujana na uzee. Kumiliki mali, pete za bahati nk. Kama ulipitwa soma post zilizopita, makala haya nitaongelea maradhi yanayowasumbua kila nyota na mwishoni nitatoa ushaur hatua za kuchukua soma kwa umakini mpaka mwisho wa makala. Anayekuletea makala haya ni mtabibu Asili tz.


           MARADHI YA NYOTA YA PUNDA

Wanaandamwa sana na husda za watu wao wa karibu na mara nyingi hurogwa na kukwamishwa mambo yao. Hupata fedha huwa haikai hujitoa sana kusaidia watu wanapokuwa nacho ila kusaidiwa kwao ni ngumu

Maradhi yao huambatana na jini khafqaan huyu husumbua sana Moyo na Kichwa, mwili hupata joto pia mwili huchoma kama aliyejikoni.

Siku ya kutibiwa maradhi yake sugu ni Jumanne itaangaliwa milango ya saa. Siku kwake ya kurogwa ni Jumapili pia huangakiwa masaa. Asili ya nyota hii ni Moto siku njema ni Jumanne na siku mbaya kwake ni Jumapili.

         MARADHI YA NYOTA YA NG'OMBE

Huandamwa na maradhi ya sihiri mwilini. Maadui zao hushambulia zaidi mwili kuliko kipato. Kuna wakati huziba mirija ya upataji ridhki mara kadhaa nao huandamwa na hali ngumu na pato hupotea.

Uchawi unaotumika ni wajini Maimuna asili yake ni jini wa kupenda sana mapenzi usishangae kuona mtu wa nyota kuoenda ngono akishaingiliwa na kiumbe hiki. Hutesa viungo vya mwili na huchokesha mwili na kuuachia uchovu kama mtu aliyeoigwa vigongo.

Siku nzuri yake njemakwa  tiba kwa maradhi sugu ni Ijumaa siku ya mbaya kwake ni Jumatano. Asili ya Nyota hii ni Udongo.

        MARADHI YA NYOTA YA MAPACHA

Huvurugwa akili huwa hawawz sana maendeleo zaidi ya kuwaza vtu vingine visivyo na msingi kwako. Wakat mwingine huweza kuanzisha ugomvi kama atashauriwa mambo ya maana.

Husumbuliwa na ndoto za kupaa, ndoto za shule wakati mwingine wanyama. Pia hupata shida ya uzazi. Wajihi wake huandamwa na chunusi za usoni.

Jini anayewasumbua ni jini Twayr huyu pia ni muharibu sana mimba. Siku yake njema ya matibabu ni Jumatano siku mbaya kwake ni Jumatatu asili ama tabia ya nyota hii ni Upepo.

               MARADHI YA NYOTA YA KAA

Wanajituma sana wanapopata nafasi ila huwa hapewi sifa stahiki. Au hawaingizi kile wwnachostahili. Uaudui wao huanzia mbali sana mara nyingine upitia kwa wazazi wao, maadui wa wazazi wao huweza kuamisha husda kwako.

Hushambuliwa sana na mapenz kwani ni wajinga wakuamini sana. Hivyo vifungo vyao vikubwa hutokana na dawa za kimepenz ama limbwata ukiacha husda za ndugu. Pia wakati mwingine hata marafiki wanaweza kuwazunguka na kuwafanyia mambo mabaya ya kuwakwamisha.

Kujikwamua kwake yatakiwa upate siri ya ugomvi wa wazazi. Maana yaweza kuwq ni vita ama mizimu. Siku njema kwako kushughulikia mambo yao ni Jumatatu siku mbaya kwako ni Jumamosi asili ama tabia ya nyota hii MAJI

           MARADHI YA NYOTA YA SIMBA

Ni watu wa kupambana hupenda sana sifa na kuonekana wanapokuwa kwenye kundi la watu. Vita yao kubwa husumbuliww sihiri yenye asili ya moto maradhi kama vidonda vya tumbo, kkungulia na kusumbuka uzazi huwaandama sana.

Unaweza kuandamwa na chuki za majirani kwani kuna jini hutumika kwenye kuharibu mambo yako huwa ni Subiani.

Siku njema ya kushughulikia shida zao ni siku ya Jumapili na siku mbaya kwao ni Ijumaa asili ya nyota hii ni MOTO

          MARADHI YA NYOTA YA MASHUKE

watu wa nyota hii wana asili ya kuoata watu wenye nguvu ama uwezo huandamwa sana na uadui wa watu wa karibu. Ubaya zaidi huwa si husda tu bali hufanyiwa sihiri mbaya ya Jinni Ummu Subiani.

Huandamwa sana na shida za uzazi kwa wanaume nguvu za jimai pia huwasumbua. Maradhi ya kichwa viungo ganzi na husihia kwenye Strocke palalaiz. Wakati mwingine hukumbwa na shida za Moyo.

Siku nzuri ya kushughulikia matatzo yao ni Jumatano siku mbaya ni Jumatatu asili ya nyota hii ni Udongo.

         MARADHI YA NYOTA YA MIZANI

Mafanikio ama muonekano hufanya watu kuwa na wivu. Hivyo husumbuliwa na husda za watu wa karibu na maandamo ya maneno mabaya.

jini anayetumika sana kusumbuwa watu hawa ni Tawaabia, Alkhannas huwasumbua sana watu vichwa na kukosa misimamo kwwnye maamuzi ya kimapenzi

Siku nzuri ya kushughulikia matatzo yako ni Ijumaa siku mbaya kwako na yenye nuksi ni Jumatano. Asili ama tabia ni ya UPEPO

             MARADHI YA NYOTA YA NG'E

Watu wa nyota hii huwa maradhi ya misuli kukamaa. Mara nyingi huwa ni watu wenye haraka haraka kwenye mambo yao hali ibayipelekea kuharibu vitu hovyo.

Asili ya mikono yao kutodumu vitu, vitu viwe vinapita tu. Wanakuwa na maneno mengi ya laghai. Mara nyingi huwa ni sihiri za nje ya mwili yaan zinatembea mikononi na hata kuhairbu safari. Jini anayetumika sana kwa maradhi haya ni SAAKINIYNA

Siku njema kushughulikia mambo yako ni  siku mbaya yenye nuksi ni Jumapili. Asili ama tabia ya nyota hii ni MAJI

         MARADHI YA NYOTA YA MSHALE

Wenye nyita hii ni waoambanaji sana huweza kupata manufaa kwa wepesi katika mapambano yao. Hivyo huzaa chuki za kishirikina na kuanza kufungwa mambo yao.

Maradhi yanayiwasumbua sana maradhi ya kichwa kuruka na akili, kuchukuliwa nyota na kufichwa vivuli. Kuna sihiri za kishirikina hutumika huweza kuharibu figo, vidonda vya tumba na wakati mwingine sukar. Pia unaweza kuandamwa na kutopenda kula

Siku njema ya kushughulikia mambo yako ni alhamisi siku mbaya yenye nuksi ni Jumanne. Asili ama tabia ya nyota hii ni MOTO

           MARADHI YA NYOTA YA MBUZI

Huandamwa na maradhi ya kichwa, viungo vya mwili kulegea, khofu ya nafsi na wakati mwingine kuandamwa na maradhi ya macho.

Asili ya maradhi yao ni vita vya pato ama nyota na hutumika sana jini SAAKINIYNA na SUBIANI. dalili zake ni kuandamwa sana na mitihani katika mahusiano ama ndoa na kusumbuka kupata uzazi.

Siku nzuri ya kushughulikia mambo yako ni Jumamosi siku mbaya yenye nuksi ni Alhamisi. Asili ama tabia ya nyota yako ni UDONGO.

          MARADHI YA NYOTA YA NDOO

Maradhi yanayowatesa na rahisi kuyaoata na ukirogwa siku iliyopangika lazima yakuoate ni kusahau ama matatizo ya akili. Matatizo ya kuanguka pamoja na kusumvuliwa na maradhi ya moyo.

Jini anayewasumbua sana ni jini Maiti. Hivyo utaandamwa na ndoto za kifo sana ama ndoto za kuona makaburi ama kuiona maiti mara kwa mara.

Siku yake njema kwa kushughulikia mambo yake ni Jumamosi na siku mbaya yenye nuksi kwake ni Alhamisi. Asili ama tabia ya nyota hii ni UPEPO.

        MARADHI YA NYOTA YA SAMAKI

Vita kubwq za nyota hii ina asili ya kike hivyo maadui wake ni wanawake. Maradhi yake hasa ni huhusiana na afya kwa ujumla mwili kuchoka na maradhi ya kukaa muda mref mwilini.

Ridhki hufungwa kutokana na husda za watu wako wa karibu. Pia ni mtu mwenye kuandamwa na majini wengi ambao ni waasili ya ukoo wako. Hata shida zako hutibika kiasilia zaidi

Siku ya kushughulika mambo yako ama siku yenye bahati ni Alhamisi siku mbaya ama yenye nuksi ni Jumanne. Asili ama tabia ya nyota hii ni MAJI.

      MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

KUNA WAKATI SAYARI HUSAFIRI NA KUATHIRI NYOTA ZINGINE. HIVYO UNAWEZA KUONA MARADHI KWAKO YAKIREJEA KILA UKITIBIWA. AMA KUONA MARADHI YA NYOTA NYINGINE YAKAJA KWAKO YATAKIWA YATIBIWE KWA ASILI YA NYOTA HUSIKA NA MAANGALIZI KWA VYANZO VILIVYOONEKANA KUWA NI CHANZO.

HAYA NILIYOYAELEZA NI MARADHI AMA VITA AMBAVYO NYOTA YAKO HUKUMBANA NAVYO HIVYO KWENYE KUYATIBIA YATAKIWA UFUATE FORMULA KAMA YALIVYOKUJA KUNA VISOMO MADAWA YA KULA KWA WENYE SIHIRI NA HATA KUOGA KUONDOA MAJOSHO MABAYA.

DARASA ZIJAZO TUNAWEZA KUONGELEA IDADI YA WATOTO WA KILA NYOTA NA WATU AMBAO UKIKOSEA KUKUTANA NAO KWA KUOANA ADHA GANI UTAIPATA. LIKE PAGE WEKA COMENT YAKO ILI NIONE UMHHMU WA KULETA HILO SOMO.

Kwa yoyte anayehitaji msaada wa kinyota, kazi , biahsra, mapenzi, kuuza kitu, nguvu za kiume, kukuza dhakar vidonda vya tumbo nk 

+255621442936

Jitahd kupiga simu ikiwa unatuma ujumbe basi weka maelezo ya kutosha ikiwemo nina shida na pahala ulpo jumbe fupi kama mambo niaje hi habar hellow sitazijib

Comments

  1. Nyota ya nge ujasema siku yao nzuri ya matibabu ila umetaja TU siku yao mbaya

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI