NDOTO ZINAZOHUSU JENEZA, KABURI NA ISHARA ZAKE



TUPO KWWNYE MUENDELEZO WA NDOTO ZINAZOHUSIANA NA VIFO, MAITI, JANEZA AU SANDUKU NA KABURI. TAYARI NISHAFAFANUA KUHUSU KUWAONA WATU WALIOKUFA NDOTONI. PIA NDOTO ZINAZOHUSIANA NA MAITI KUONA KUZISHIKA NA MAMBO MENGINE. LEO NAONGELEA NDOTO ZA KABURI NA MAJENEZA AU SAMDUKU IKIWA ULIPIYWA NA NDOTO NILIZOELEZA HAPO JUU SOMA POST ZILIZOPITA UNA SWALI LA NDOTO ULIZA HAPO CHINI.


Jeneza ama sanduku ni usafiri wa mwisho unaotumika kumpeleka marehem kwenye nyumba yake ya milele. Hivyo Jeneza hushiria huzuni ama mwisho wa jambo ya fulani wakati mwingine huashiria wema ama ubaya yategemea na mazingira ya muotaji yapoje.

    NDOTO ZINAZOHUSINA NA JENEZA

Ukiota upo ndani ya jeneza fasili yake  utajenga udugu na mtu kwa ajili ya mungu hivyo kuwa makini na aina ya marafiki ulonao. Ikiwa utaona umebebwa kwenye jeneza  Utatawala na kupanda daraja na watu watakufuata kama ulivyowaona ndotoni na pia ni ishara ya kuwashinda maadui zako. 

Mazingira ya ndoto hzi zile zinazoishia kwwnye jeneza kisha ukakurupuka. Yamkini umeota hujafa ila upo kwwnyw jeneza ghafla ukashtuka ndiyo maelezo hayo hapo juu. Ikiwa utaota yuwazikwa kabisa nimeahatafsiri ndoto za jana inaashiria kitu gani.

Ukiota umebeba maiti peke yako na huna hofu watokomea nayo sehemu usiyoijua isharara ya kupata mali ya haram na huna hofu katika utafutaji wako. Ukiota watu wwngi na wewe ukiwepo mmbeba maiti mwatokomea nayo sehem pia hushiria utashiriki kwenye kutafuta mali ama vitu vya haram. 

Ikiwa utaona jeneza linapaa angali linapita maeneo yako ishara ya kuwa atakufa mtu mkubwa Mwwmye mamlaka ama wadhifa. Bimaana ni mtu mwenye kutegemea kiongoz wa ngaz za juu au mwanachuoni au yeyote mwenye daraja ya juu katika jamii yako.

Ukiota unatengenza jeneza ishara ya kupata upatanisho na watu uliohitalifiana nao zamani. Ikiwa unatengeneza watu wanasubiri wakazike husahiria kuwa utasiaida watu kwwnye mambo ya kuneemesha wwngine. Yaan utakuwa daraja ya kunufaisha watu wwngine. Ikiwa unatengeneza kwa nia ya kujitengenezea mwenyewe huashiria kuwa utakuwa mtu mwenye maono ya mbali lakini pia huashiria hali mbaya kiuchumi hivyo yategemea na mazingira.

       NDOTO ZINAZOHUSIANA KABURI

Ukiota unachimba kaburi pekee yako huashiria kuwa kuna shughuli au jambo walifanya sio zuri ama jema na halina mwiaho mwema laweza kukutia hatiani. Pia ikiwa ni ndoto za kujirudia huashiria kuwa unasumbuliwa na jini maiti. Ikitoea mwachimba kaburi watu wengi na unawafahamu ishara ya kujiingiza kwenye shughuli za haramu nanhuwenda ukaingiza pasina kujua. 

Ikiwa yuwaota unaona kaburi yaan kwwnye matembezi yako ukaona kaburi nafsi ikaingia na woga. Ishara ya mtu mwenye waswas huwenda maisha kuna vtu havipo sawa yaani ni nafsi yenye huzuni inayosoneka juu ya mapito ya dhiki. Ikiwa utaota yuwatembea ghafla ukajikwaa kaburini na ukaamua ama kutokwa na damu huahsiria mitihani na matatzio itakuandama na huwenda ukaanguka kiuchumi. Ikiwa uliyeota una maradhi ya muda mrefu yanakusumbua huashiria ishara mbaya ikiwa utajkwaa kisha ukaendela n safar kwa mgonjwa ni ishara ya njema kupata ahuen shida yae.

Ikiwa umeota umekaa juu ya kaburi aidha kwa kukumbizwa kisha ukapumzika au mwnyewe tu umeota umekaa huahsiria matatizo kwako yatakuwa yakikuandama na huwenda wajua yameanzia wapi ila una hofu kwa kuogopa jambo fulani lisije likatokea. Ikiwa umeota umenyanyuka juu ya kaburi yaan ulikaa ukanyanyuka hushiria kuisha kwa matatzo yako lakini pia huangaliwa mwanzo wa ndoto mazingira yalikuwaje maana pia hushiria kuyatafuta matatizo na kuyapeleke nyumbani kwako.

Ukiota unajizika kaburini ama unazikwa hushairia mauti huashiria mwisho wa neema zako. Ikiwa itaambatana na ndoto za shule yaan kuota umerejea shule ama kijini ulipokulia hivyo ni vifungo vya kichwai na ni roho chafu inayokukatishia maendeleo yako. Na utaishi katika hali ngumi sana.

Ukioya unayaoba makaburi mengi ishara ya kuwa na matatzo mikwamo ama vifungo vinavyotokana na uchawi. Ikiwa utaota yuwaona kaburi la mtoto ridhki kwako zitakuwa ngumu utakuwa mtu wa kutafutiwa kutokana na vifungo vikali

UNA NDOTO INAYOENDANA NA NILIYOFAFANUA SONA KWA MAKINI MAELWZO. IKIWA HAIENDAN WEKA MAELEZO CHINI YA MAKALA HAYA UTATAFSIRIWA UKIHITAJI KUTAFSIRIWA NDOTO INBOX GHARAMA YAKE NI ELF TATU.

MASWALI YOTE YA NDOTO YAULIZWE HAPA INBOX UTALIPIA GHARAMA ILIYOTAJWA.

una shida yoyote ya nyota, mapenzi, kazi bishara, kesi, kuibiwa, nguvu za kiume, kukuza dhakar, jini mahaba, pete za bahati nk

+255621442936

JITAHD KUPIGA SIMU IKIWA UNAGUMA UJUMBE BASI WEKA MAELEZO YA KUTOSHA JUMBE FUP SITAZIJIB


Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI