FAHAMU KUHUSU MKUYU MTI WA UTAJIRI NA MAAJABU YAKE
UKIFANIKIWA kuliona ua la mti huu na kulichuma na kulimilikia dhiki ndogo ndogo zitakuendea mbali kwani mkuyu uaningia kwenye miti inayomilikiwa na majini wa heri. Sifa za mti huu kwanza huvuta maji panapo mti huu huwa hakuna shida ya maji hata ukichimba shimo pembezon mwa mti huu basi unaweza ukaheuza kuwa kisima. Mti huu una maajabu kuanzia majani magome yake na mizizi. Fuatana na mi mwamzo mpaka mwisho wa makala haya. Hedhi isiyokata Kama umepigwa kitu cha kichawi unableed mfululizo tafuta magome mkwayu kisha chemsha tumia kwa kunywa kwa siku saba Mtoto kususa ziwa. Chukua majani ya mkuyu chemsha kunywa wewe mzazi na utamuogesha mtoto kwa siku tatu asubuhi na jion wakat unaendelea kunywa endelea kumpa mtoto nyonyo Hii ina saidia hata wale wasiotoa maziwa au maziwa machache tumia itakuongezea ma,iwa. Pia kama una jini anayemtisha mtoto tumia kujifusha mzazi itakusaidia. Maradhi ya chango Majani mkuyu chemsha kiasi cha kiganja chako kwenye maji lita moja iache ibaki nusu lita. Kisha