FAHAMU KUHUSU MKUYU MTI WA UTAJIRI NA MAAJABU YAKE



UKIFANIKIWA kuliona ua la mti huu na kulichuma na kulimilikia dhiki ndogo ndogo zitakuendea mbali kwani mkuyu uaningia kwenye miti inayomilikiwa na majini wa heri.

Sifa za mti huu kwanza huvuta maji panapo mti huu huwa hakuna shida ya maji hata ukichimba shimo pembezon mwa mti huu basi unaweza ukaheuza kuwa kisima.

Mti huu una maajabu kuanzia majani magome yake na mizizi. Fuatana na mi mwamzo mpaka mwisho wa makala haya.

Hedhi isiyokata
Kama umepigwa kitu cha kichawi unableed mfululizo tafuta magome mkwayu kisha chemsha tumia kwa kunywa kwa siku saba 

Mtoto kususa ziwa.

Chukua majani ya mkuyu chemsha kunywa wewe mzazi na utamuogesha mtoto kwa siku tatu asubuhi na jion wakat unaendelea kunywa endelea kumpa mtoto nyonyo

Hii ina saidia hata wale wasiotoa maziwa au maziwa machache tumia itakuongezea ma,iwa. Pia kama una jini anayemtisha mtoto tumia kujifusha mzazi itakusaidia.

Maradhi ya chango
Majani mkuyu chemsha kiasi cha kiganja chako kwenye maji lita moja iache ibaki nusu lita. Kisha chukua majani na mzizi ya mkunde pori chemsha pamoja na mfuleta kisha utachanganya vyote vikiwa vuguvugu matumizi utakunywa kwa siku tatu
Zingatia hazichemshwi pamoja.

Kwa tatizo la mirija kuziba
Chukua unga wa mzizi wamkuyu tumia katika maji ya uvuguvugu kijiko kimoja Cha mkuyu Mara 3 kwa SIKU kwa muda wa wiki moja tu,usiisahau kuruka hata SIKU 1.
Unaweza andaa mwenyewe au nunua maduka ya dawa asili

Unga wa mkaa wa mkuyu unaweza kuondoa sumu ya nyoka kwa kupaka kwenye jeraha na kunywa soma mbele utaelewa. Unaweza kutibu tatzo la kuhara damu tatzo la kiungulia chukua kijiko cha unga wa mkaa weka kwenye glasi ya maji vuguvugu kunywa atlist sk tatu mfululizo.

Mti huu kama nlvyoeleza hapo juu maua yake hutumika kwenye dawa za mvuto wa mali hutumika kwwnye dawa za mapenzi upatikanaje wake kidogo unakuwa adimu. Mti wenyewe hutumika kwenye makafara kusafirishia watu nk. Magome hutumika kwenye mvuto na biashara haya nitayazungumza kwa kina kwenye group la whatsap leo usiku. Km una htaji maelezo yake na Huna whastap kwa wahtaji utagaharamia

Kuhusu mkuyu unapatikana maporini mnapoisha angalia picha hapo chini una tatizo lolote unahtaji kutatuliwa iwe afya mapenzi kesi kudhulumiwa kuibiwa biashara nyota pete za bahati nk niachie ujumbe inbox . 

Maswali kuhusu somo uliza hapo chini

Kwa wahtaj wa group la whtasp ni lakulpia link hiyo hapo.

https://chat.whatsapp.com/FliiJufC9CpCcr0qnmMDh6

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI