NDOTO ZA MAPENZ NA TAFSIRI ZAKE



SEHEMU YA PILI

SEHEMU ya kwanza nilizungumzia kuhusiana na tafsri za ndoto ya mapenzi nikagusia jini mahaba pamoja na tafsiri nyengine kama ilikupita isome kupitia page yangu mtabibuasilitz.

Leo ntazungumzia kuhusiana na ndoto za kuingiliana kimapenzi watu wa jinsia moja yaani umelala umeota unafanya mapenzi na mwanaume mwenzio au mwanamke mwenzio ndicho ninachomaanisha.

Ndoto hizi zipo katika maana mbili zipo za kichawi na kiroho. Kwa maana kuna mazingira ukiota huwa ni ishara ya wachawi wamekutembelea siku hiyo na mazingira mengine huwa ni yakiimani zaidi sasa hizi ndio tafsiri zinazoleta maana na ubashirio.

Mwanaume ukiota unaingiliwa kinyume na maumbile aidha na mkia wa mnyama au uume wa mnyama au mnyama mwenyewe ndo anakuingia au binaadamu mwenzio ukahisi maumivu makali sehemu hyo na hata ukija kushtuka maumivu bado yapo na wakat mwingine hudumua mpka asubuhi na kuendelea haoa rafki yangu umeingiliwa kweli na wachawi na wamekuja kwa lengo la kukukomoa. Na usipokuwa makini watazidi kukuingilia kila sku.

Mwanaume kuota unaingiliwa kinyume na maumbile na ikawa ndo ndoto zako za mara kwa mara na ukiamkia huhisi maumivu ni ishara ya uadui kwenye maisha yako na pia ni anguko la ichumi au kwa kile unachokifanya.
Ndoto hii inaishra ya kile kisa cha sodoma na gomola kwa hyo kuna anguko kubwa na pia kuna uadui kwenye maisha yako.

Mwanamke kuota anaingilia kinyume na maumbile na akaamka asubuhi amechoka na wakat mwingine kachafuka sehemu zake za siri na maumivu hii ni ishara ya kuingiliwa na wachawi lakini pia ni ishara ya jini mbaya kuna majini mahaba wwngine pia wanatabia za kuingilia wanawake kinyume na maumbie.

Mwanamke ukiota unaingiliwa kinyume na maumbie ndo zikawa ndoto zako unakumbushwa kuwa kuna uadui laiki pia kuna anguko la uchumi lakini pia kinga mdomo wako kuna mambo ambayo hayakuhusu lakini unayafuatilia.

Mwanamke kuota anafanya mapenzi na mwanamke mwenzie anayemjua ni ishara ya kudumu urafiki na kuna kitu kikubwa atakuja kukusaidia.

Mwanaume kuota unamuingilia mwanaume mwenzio kinyume na maumbile ni ishara ya matendo yako mabaya yaani katika masiaha ya kawaida wewe hudhulumu haki za watu.


Kuota unamuingilia mwanamke kinyume na umbile kama ni ndoto za kila siku yaweza ikawa ishara ya jini mbaya yaani jini wa kike alafu mshenzi huyu hufunga mpaka ridhiki zako na mahusiano na watu wengine kwa sababu kama nyuma kunatoa uchafu na yeye akakuamuru kupita njia chafu anakutofautisha na vitu vya halali kwenye maisha yako

Kikubwa ni umakini kwenye kila unachoota pili penda kufanya maombi kabla ya kulala na endapo utakuwa unaota ndoto zinazokutisha zikajirudia bas fika kwa wataalam karibu wapate kukupa ufumbuzi ndoto ni maono au taswira ya kile ukifanyacho au kitakachokuja kukutokea 
Wabillah tawfiq


Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI