SAYANSI YA MIMEA FAHAMU KUHUSU MMEA WA MPAPAI NA MBEGU ZAKE KATIKA TIBA ASILI
FAHAMU kuhusu mmea wa mpapai katika shughuli za tiba za asili. Mmea huu hutumika kwa kuleta matunda ndo faida tunayoijua wengi maana hata kimvuli hauna. Mti huu una aina mbili kuna jike na dume fuatana nami katika kufahamu zaid.
Kila utakachokisoma kinahusiana na mipapai ile ya asili sio mipapai ya kisasa wiki moja ishazaa nazungumzia mipapai asili ile ya kienyeji.
Majani ya mpapai jike kiafya yanaweza kutibu maradhi ikiwemo homa kali, maradhi ya sukar shikiizo la dmu ukichukua majani mabichi ukakata na kusga na kitengeneza juisi inatibu maradhi niliyotaja hapo juu.
Majani makavu ukayatumia kama mafusho yanashusha pumu ile ya kubana wakat umebanwa fanya hivyo pumu itaahuka.
Majan yake pia yanatumika kutengenezea dawa kwa wale wanaume wagumu wasiotoa pesa nishazungumza hili soma makala zilizopita au jiunge na group la whatsap.
Mizizi ya mpapai
Ukichemsha mizizi ya mpapai yanatuliza maumivu ya ngiri kwa wanaume pia yanapunguza mchango wa watoto wadogo vipimo mtu mzima kikombe cha kahawa mtoto kijiko cha chai viwil.
Ukichukua mizizi jike mikavu ukairoweka kwenye maji ya moto ni dawa ya homa ya figo pia hupunguza tatizo la kuhara na maumivu ya tumbo.
Mbegu za mpapai zake ukimeza mbichi zinaweza kushusha homa kali haraka.
Pia ukianika mbegu zake ndani kisha ukazisga kupata unga wake unatibu maralia sugu na homa ya ini
Unatumia vjko viwil kwenye kikombe cha chai uji au maji moto.
Pia hutibu presha, pumu, kikohozi mtoto mwenye homa za mara kwa mara tumia unga wake kuweka kwenye uji ikiwa mtu mzima vijiko viwili vya chakula mtoto kjko kimoja cha chai
Nmejitahd kufafanua kila mmoja apate kujitibia nyumbani. Panda mpapai ila angalia ile ya asili.
Facebook page mtabibu Asili tz
Comments
Post a Comment