TAFSIRI YA NDOTO AMBAZO HUOTA UPO MAZINGIRA YA SHULE NA TAFSIRI ZAKE
LEO KWENYE DARASA LA NDOTO NAWALETEA NDOTO ZA SHULE
NDOTO hizi huotwa mara nyingi sana hasa kipindi ambacho hali ya maisha huwa ngumu kidogo kwa muotaji. Ndoto hutafsiri maisha au hali uliyonayo wakat huo au mambo yatajayokutokea baadae.
Mara nyingi wanaoota ndoto za dizain hii ni watu wenye malengo makubwa ya kimaisha lakini wanakumbwa na changamoto nyingi za kuwakwamisha kufikia hayo malengo yao.
Kuota ndoto za shuleni mara kwa mara kwaweza kumaanisha kwamba bado hujatenganishwa na wakati uliopita bimaana wakati wako wa nuru bado haujafika au kuna watu wanacheza na nyota yako kwenye manufaa yao, na umekwamishwa kiroho kuvuka kuelekea kwenye maendeleo.
IPI TASFIRI YA NDOTO ZA SHULE
hapa inategemea na mazingira uliyoyaota ukiwa shule. nitatoa mifano na tafsiri chache.
umeota upo shule kwenye chumba cha mtihani wenzio wanamaliza ww bado.
Upo kwenye chumba mtihani unaona mtihani mgumu
upo eneo la kula chakula wenzio wamepata ww umekosa au umepata lakn ni kidogo
upo na wenzio wana furaha ww hauna kuchelewa shuleni, au kuadhibiwa wewe na wenzio wanakucheka. Mpo eneo la michezo wenzio wamekutenga.
tafsiri yake una matatizo au utapatwa na matatizo hasa kwenye kipato km ifuatavyo
km una deni itakuwiya ugumu kulilipa ama utalipa kidogokidogo
km unadai utalipwa lakn kwa tabu sana na pia usifanye kitu cha maana
umeahidiwa ktu utazungushwa
kuna ktu unakifanya wenzio wananufaika ww bado
pamoja na mambo mengine yakukatisha tamaa
Migogoro kwenye sehemu za kazi, mahusiano au ndoa kuyumba. Migogoro kwenye nyumba unayoish. Kupotea heshima yako watu wanakudharau
Ukiota umevaa sare za shule iwe msingi au sekondar lakn haupo shule unakumbusha kuwa kuna mambo ya msingi katka kazi yako huyatilii maanan hvyo kunaweza kuleta mtihani.
Ukiota unafundisha hali yakuwa huna taaluma ya ualimu inamaanisha wewe una upeo na naarifa makubwa sana ila watu kwenye jamii yako wanakuona kawaida.
KWA UJUMA UKIWA UNAOTA MAZINGIRA YA SHULE MARA KWA MARA
Chunguza maisha yako vizuri unakuta kuna mambo haya yafuatayo:
umekuwa ukikwama katika mambo yako kila wakati unaishi nyuma ya wakati wako; yaani ulipaswa kuwa mbali zaidi ya hapo ulipo huridhiki na maendeleo yako pamoja na kuwa na elimu kubwa na ujunzi mzuri ulikuwa unafanya vizuri darasani lakini maendeleo yako sasa hayalingani na kipaji chako
umekuwa na ambitions za kitaaluma lakini hujaweza
kuna wakat watu wa karibu wanaweza wakakuchezea michezo michafu ili usifikie lengo unalolitaka ili muendelee kuwa chini wote
UTAJIKWAMUAJE KWENYE HILI
Yaweza kuwa vifungo vya walimwengu hasad za watu mizimu yakwenu nk haya n mambo ya kitaalam kuyajua had ufike kwa wataalam wakupekue kindani. Nmejitahd kukufumbua macho ujue nn kinakukabili
KILA mmoja kwa imani yake anahtajika kufanya maombi kwa mola wake mlezi mwenyezi mungu atamfungulia milango yake ya riziki kwa kadri ya uzito wa imani yake.
Pia angalia unachokifanya na unachokipata kinaweza kukusogeza unapopataka
Maswali kuhusu ndoto hii uliza hapo chini
Njia nyepesi na rahisi ya kuwasiliana nami juu ya blog kuna namba za whatsap
Lakini pia facebook tafuta page ya mtabibu Asili TZ
Mimi nimeota nimechelewa shule na nilivofika wenzangu wako parade ila mimi sikupata nafasi ya kusimama kwenye mstari, akaja mwenzangu mwingine akapata nafasi, na mimi nikaenda pale pale alipoingia yy kusimama nikapenya nilivopata nafasi wengine walidondoka na mwlm akawa anawaangalia tuu
ReplyDeleteMm Ni kuota nipo darasani sielewi au kwenye chumba Cha mtihan na mtihan Ni mgum sikusoma
ReplyDeleteMimi niliota nafanya muthihan na wezangu wamemaliza na mimi bado
ReplyDeleteJitahd kusoma maelezo kwa utulivu
DeleteNa jee uliota uko nyumbani kwenu Kwa zamani na unaongea na watu wa ndani,hii Ina maana gani?
ReplyDeleteIshara ya vifungo vyenye asili ya mizimu
DeleteNimeota nipo shule ambayo sijawahi kuisomea, lakini wanafunzi wote ni wale niliosoma nao shule nyingine
ReplyDelete