MAAJABU YA MTI MVINJE KATIKA TIBA ASILI NA KUTIBU MARADHI MBALIMBALI

FAHAMU KUHUSU MVINJE NA MAAJABU YAKE KWA DAWA ASILI NA KINGA KWA MAPAFU

MTI huu hupatikana zaid kandokando mwa bahar japo siku hz kuna watu huoanda majumbani kwao. Ila ninao uzungumzia hapa ni mti wa baharini nayo pia ipo ya aina mbili .

Ipo inayoota ndani ya bahar hii huwa si mikubwa sana na ile inayoota pembezon mwa mwa bahari. Bara la Asia wenzetu wameendelea  wanatumia mafuta ya mti huu kama sehem ya kukinga ngozi zao kulingana na magonjwa nyemelezi ya ngozi na nywele.

Mti huu majani yake yapo kama miba yana uasili ya urefu na kuchoma na si upana.
Ukichukua majani na hyo mbegutunda zake mbichi ukazichemsha ukatumia kama chai inaweza kupunguza magonjwa ya shambulizi ya moyo kukupa usikivu mzur wa masikio kwa wale wenye usikivu hafifu (sio viziwi). Hukuoa upumuaji mzuri hukinga mapafu dhidi ya magonjwa shambulizi hasa kipindi hichi cha corona.
Uandaja wake chukua majan yake na tunda zake chagua za kijan yaan zile bado mbch au changa kias cha kiganja chako.chemsha kwa dkka tatu mpaka nne kisha ipua ipoe tumia kunywa kikombe cha chai mara mbl kwa ck fanya mara kwa mara hata kwa mwez mara tatu.


Kushusha ngiri kwa wanaume
Chukua mizizi au magome ya mvinje bahar kisha chukua kipande cha shubiri nyekundu chemsha kwa maji lita moja yaache yabaki nusu lita igawe mara tatu uyakunywa asubuhi mchana na jion.
Maumivu ya tumbo la hedhi waweza fanya hvyo hvyo ila tumia mshubr wa kijani

Presha ya kupanda
Utachukua magome ya mti wa ndani ya bahar utatwanga upate unga wake kisha utatumia kwenye chai au maji moto kijiko kimoja cha chai kwa kikombe kimoja utafanya hvyo mara mbili kwa siku ndani ya siku 7

Pia maganda ya mti huu na majani yake yaliyoanguka chini hutumika kutengeneza mafusho kwa watu wenye majini yanayoharibu kizazi. Mizizi yake hutumika kuvunja na kuua kesi. Kuziba watu midomo na kilele chake hutumika kwa dawa za mapenz mungu akipenda haya nitayongea kwenye group la whatsap
Iwapo una shida kati ya hizi mbili niachie ujumbe inbox nikutayarishie dawa.

Kwa wenye mtatizo yoyote ya kimaisha nyota mapenzi biashara kuibiwa nk niachie ujumbe inbox
Maswali kuhusu mada yaulizwe hapa chini

Link ya group la whatsap utafahamishiwa jinsi ya kulipia maana group n la malipo kwa mtakaji bonyeza hyo link

https://chat.whatsapp.com/FliiJufC9CpCcr0qnmMDh6

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI