FAHAMU KUHUSU MNYONNYO FAIDA NA MATUMIZI YAKE

FAHAMU KUHUSU MNYONYO TIBA NA MATUMZI YAKE.

MTI wa mnyonyo una faida kubwa sana katika matibabu asili kuanzia majani mti wake mizizi pamoja na mbegu zake.

Mti huu una sumu kali sana inayoweza kuwa kiumbe ndani ya dakika 30 tu iwapo haitatumika kwa kufuata taratibu zilizowekwa. Wanga na wachawi pia hutumia mti katika kuwaua watu kimaendeleo, kufunga watu vizazi.nk haya nitafafanua kwenye group.

Leo tuongelee faida za kiafya.
Mbegu za mti huu hutumika kama mpango wa uzazi kwa njia za asili. Hapa yanahtajika maelezo marefu maana unaweza ukaua kizazi kama hujapata mtaalamu wa kukueleza namna ya kutumia na mbegu gani hasa zinatumika na ni muda gani wa kutumia kuna makala kwenye page yangu inazungumzia njia za uzazi za asili tafadhali isome utapata uelewa mpana.

Kwikwi
Jaza maji kwenye jani mpe mgonjwa anywe kila baada ya dakika 3 mpaka kwikwi iishe. 
Kutibu miguu inayo uma 
Tumia majani kwa kufungia miguu inayouma.
Maumivu Ya Mgongo 
Majani yake ukiyapasha moto yafaa kukanda mgongo wenye maumivu.
Kutibu Kaswende na Kisonono :
Ponda mizizi ya mti wa mnyonyo, kisha chemsha na tumia kunywa glasi moja mara mbili kwa siku kwa muda wa siku saba.
kuteuka
Mtafute mama mwenye watoto mapacha mama wawili achemshe majani ya mnyonyo kisha akuche sehemu iliyoteuka kwa sku tatu mara mbl kwa siku
Mama wawili anatumika kwenye shughuli nyingi sana kitiba nutamzungumzia leo usiku kwenye group.
Mafuta ya mnyonyo ukipaka kichwan hutumika kulainisha nywele, kutoa mba kichwani kuondoa muwasho kichwani, kumaliza maumivu ya viungo kwa kuchua.

Hakikisha unatumia kama ilivyoelekezwa kwenye kila tiba ukizidsha itakuwa unatengeneza tatzo jengine. Mmea huu una sumu kali sana

Una tatzo lolote la kimaisha afya nyota mapenzi kazi biashara kesi kuibiwa kudhulimiwa kwa makala soma kupitia ukurasa wangu mtabibuasilitz 
Link ya group la whatsap hii hapa group 

https://chat.whatsapp.com/FliiJufC9CpCcr0qnmMDh6

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI