FAHAMU FAIDA ZA MUEGEA
FAHAMU KUHUSU FAIDA ZA MTI WA MUINGE AU MUEGEA KATIKA TIBA MTI huu una majina mengi wengine huita muegea, muinge mlemela. Leo nitawapa faida kiafya wanaohtaj habar za kukuza nitawapa dawa. KWA AFYA KWA UJUMLA UUnatibu Tumbo Kujaa Gesi Kujisaidia Milendalenda Vidonda Vya Tumbo Kunawirisha Mwili Kwa Wale Wenye Afaya Mgogoro ukurutu na magonjwa mengine ya ngozi. Jinsi ya kutumia Kupata faida hizo kwa kutumia mizizi ya mti huo, chukua mizizi au magome yake na uyakaushe kivulini (sio juani), baada ya kukauka, saga magome hayo ili upate unga. Chota unga huo kiasi cha gramu 700 (karibu na robo tatu kilo), changanya na maji kiasi cha lita 6. Mwenye tatizo anatakiwa kunywa mchanganyiko huo kwa kiasi cha robo lita kila siku Hifadhi kwenye fliji ili isiharibike ukhtaj kutumia waipasha moto kidogo. kukausha vidonda chukua unga huo hunyunyuziwa katika nguo au kitambaa na kisha nguo au kitambaa hicho hufungwa katika kidonda au jereha na baada ya siku kadhaa jeraha hilo hukauka. KWA MARADH