FAHAMU FAIDA ZA MUEGEA



FAHAMU KUHUSU FAIDA ZA MTI WA MUINGE AU MUEGEA KATIKA TIBA

MTI huu una majina mengi wengine huita muegea, muinge  mlemela. Leo nitawapa faida kiafya wanaohtaj habar za kukuza nitawapa dawa.

KWA AFYA KWA UJUMLA

UUnatibu Tumbo Kujaa Gesi Kujisaidia Milendalenda Vidonda Vya Tumbo Kunawirisha Mwili Kwa Wale Wenye Afaya Mgogoro ukurutu na magonjwa mengine ya ngozi.

Jinsi ya kutumia Kupata faida hizo kwa kutumia mizizi ya mti huo, chukua mizizi au magome yake na uyakaushe kivulini (sio juani), baada ya kukauka, saga magome hayo ili upate unga. Chota unga huo kiasi cha gramu 700 (karibu na robo tatu kilo), changanya na maji kiasi cha lita 6. Mwenye tatizo anatakiwa kunywa mchanganyiko huo kwa kiasi cha robo lita kila siku

Hifadhi kwenye fliji ili isiharibike ukhtaj kutumia waipasha moto kidogo.

kukausha vidonda chukua unga huo hunyunyuziwa katika nguo au kitambaa na kisha nguo au kitambaa hicho hufungwa katika kidonda au jereha na baada ya siku kadhaa jeraha hilo hukauka.

KWA MARADHI YA WATOTO WADOGO

kupata tiba ya nimonia na matatizo ya tumbo ikiwa ni pamoja na minyoo kwa watoto, magome ya mvunge huchukuliwa na kulowekwa kwenye maji kisha mtoto mwenye tatizo la tumbo hunywesha maji hayo. Aidha, unaweza kutumia mizizi kama mbadala wa magome kutibu nimonia.

KWA WANAWAKE KUONDOA MAJI NA KUONEZA JOTO NA HAMU YA TENDO LA NDOA

tafuta maua ya mti huo, huchemshwa au kukaushwa na kusagwa kisha huchanganywa na maji. Baada ya kupata dawa hiyo, muhusika anaweza kuitumia kwa kunywa kwa kipimo cha robo lita na nyingine kujisafishia sehemu za siri ndani ya ck saba mfululizo

pia mti huu hutumika kukuza maumbile ila c kwa kuchanjia km inavyoelrzwa na wengi huchukuliwa mti huu na kuchanganywa na miti na mafuta mengine.

 hutumika kupooza jini ama kumpa nguvu, pia hupoozesha watu hutumika km limbwata haya sina maelezo nayo nina dawa kwa wahitaji tu

Kwa tatizo lolote la nyota biashara kazi mahusiano presha sukar 

+255621442936

Jitahidi kupiga simu na kama unatuma ujumbe basi nenda moja kwa moja kwwnyw point nina jumbe nyingi sana siwez kujibu jumbe fupa kama mambo hellow habar hi weka maelezo ya shida yako 

Comments

  1. *MAAJABU* *YA* *MAFUTA* *ASILI* *YA* *MTI* *WA* *MNYONYO* *(CASTOR OIL ). Ni Mafuta Ya Asili *_yaliyoshika umaarufu mkubwa Duniani kutokana na nguvu yake kubwa inayofanya kazi katika mwili wa mwanadamu kuliko mafuta mengne yoyote Duniani!! Mafuta ya Asili ya mti wa Mnyonyo (CASTOROIL) hufanya yafuatayo katika mwili::;
    1: Hutibu fangasi sugu wa aina zote kwa siku tatu
    2: Huondoa makovu na michirizi ndani ya wiki mbili
    3: Hukuza nywele, kusafisha kichwa, kuondoa MBA sugu na kurejesha Afya ya Nywele
    4: Huondoa kipara kwa kujaza nywele na kuzirefusha ndani ya mwezi mmoja
    5: Hutibu U.T.I sugu pamoja na kuondoa gesi tumboni kwa mda cku nne
    6: Husaidia katika kupanga uzazi kwa akina mama bila kutumia njia za kisasa ambazo nyingi zina madhara
    7: Hutibu saratani ya ngozi pamoja na mkanda wa jeshi
    8: Hutibu matatzo yote ya ngozi
    9: Hutibu matatizo ya hedhi kwa akina dada na akina mama
    10: Huondoa mikunjo ya ya ngozi usoni inayomfanya mtu kuonekana mzee,na badala yake huifanya ngozi kuwa nyororo na ya kuvutia
    11: Ni mafuta mazuri kwa watoto wachanga kwa sababu yana Antibiotic-Asili ya kuua vimelea vya magonjwa
    12: Hutibu vidonda vya kuungua kwa moto na aina zote za vidonda sugu katika mwili
    13: Hutibu tatizo la (joint fluid) kuuma kwa joint za mwili kwa kujaa maji pamoja na maumivu
    14: Hutibu kuteguka kwa Mifupa,kuuma kwa baadhi ya sehemu za mwili pamoja na vichomi vya aina zote!!!

    NB!! Mafuta Asili ya mnyonyo(Castor oil) ni yale ambayo hayajapita kiwandani wala kuongezewa kemikali yoyote,tumia yaliyoandaliwa kwa njia za asili zaidi na tatizo lako litakwisha!!!

    NB:: Matumiz ya mafuta haya ni mengi na ni zaid ya yaliyotajwa hapo juu!! Kwa Sababu Dunia yetu hii ni kama kijiji kimoja, mambo yote yapo mtandaoni!! Ingia Google andika" MAFUTA YA MNYONYO" utaona kila kitu!! Kwa uhitaj wa Mafuta haya unaweza kututafta kwa 0621399120 au 0763105115 TUPO CHUO CHA MIPANGO DODOMA!!

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI