NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA



NAENDELEA kuwakumbusha kwa mwenye kuhitaji group letu la whatsap andika namba zako inbox yetu jina na mahala unapoish utapewa namba ya malipo utakuwa miongoni mwa wanafamilia yetu.


Tukiingia kwenye darassa la ndoto napenda kufafanua kitu kimoja kuna baadhi ya ndoto hazina maana hasa kwa muotaji. Na nmewah kufafanua sana hili sasa ikitokea nimekujibu kuwa ndoto yako haina maana usikarikie.

Kuna ndoto za iblis kuna ndoto za mungu na ndoto zamawazo yako, kwa mfano leo nazungumzia ndoto za hela sasa hapa kwa wale wanaofanya kazi benki au sehemu za cashier ambao wamadili na hela hawa kwao kuota hela ni jambo la kawaida kwa sababu ni sehemu ya maisha yao sasa kuna baadhi ya ndoto kwao hazina tafsiri huo ndo ukweli.

Pia kwa wale watu ambao wapo kwwnye maombi ya kitu fulani kwa muda mrefu basi ndoto za fedha kwao ni majibu. Ukiota mtu amekupa hela basi hicho unachokiomba utafanikiwa na ukiota unatoa hela basi haitafanikiwa.

 Iwapo unaota unaokota fedha na kwenye maisha ya kawaida ukaota kweli
Mfano usiku umeota umeokota buku na asubuhi ukaokota kweli elf moja ni ishara ya kuwa na majini wanaokupa fedha iwapo utawafuatiliza utapata zaidi endapo utawapuuza basi utakuwa masikini wa kutupwA. Chamsingi wakati huo unaota na kikatimia ulichokiota fanya mipango ya kumuweka sawa huyo jini.

Kuota unahifadhi pesa sehemu ya usalama.
Hii ni pale unapoota aidha umepewa pesa ama una pesa na umekwenda kuhifadhi sehemu Salama ili uzitunze kama kwenye kopo,droo,bakuli lenye mfuniko ama bank hii ni ishara ya utakuja kumiliki pesa nyingi sana baadae au kupata mafanikio kwenye kile unachokifanya au unachokikusudia kukutekeleza.

 Kuokota pesa za coin sarafu za zamani.
Ukiota ndoto hii jua utapata pesa sana hapa namaanisha fedha za zamani zile zinazomilikiwa na majini ambazo kwa sasa ni nadra kuonekana. Na iwapo utaokota sarafu ambazo huwa zinatumika muda huu ni ishara ya kukumbwa na mitihani ya kipato ama nuksi n kadri unavyookota nyingi ndoton basi ndo ukubwa wa tatizo ulivyo.

Ukiota unaokota fedha za noti
Ni ishara ya kuondoka kwa mali zako au ufukara kubobea kwenye maisha yako au kama kuna mpango unaufutilia pahala basi utegemee majibu yasiyo mazuri katika mpango huo.

Ukiota mtu anataka kukuoa hela alaf akasita au akakupa kisha akakunyang'anya ni ishara ya muda wako kupata mafanikio bado haujawadia ongeza bidii katika utafutaji na kumuomba mumgu akufungulie milango ya riziki.

Ndoto nzur ni ile mtu amekupa pesa na si kuokota pesa pitia makala zetu zilizopita tumezungumzi baadhi ya ndoto na tafsiri yake. Unaswali kuhusu ndoto za fedha uliza hapa chini ndoto za shule kupaa ndoto za vifo nyengine tushazitafiri 

Una tatzo la kazi biashara mapenzi bawasir kesi nguvu z kiume nyota umekimbiwa na mpenz nk kwa dawa na mafanyo niachie ujumbe inbox

Kama umependa darasa shea usikopi

Comments

  1. je! ukiota ndoto za shule kila mara, uenda mara nne kwa wiki, zinajirudia, na uenda umefanya vzr ila mwalim anaandika zero kwnye mthn wko

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ishara ya vifungo na mikwamo katika mambo yako

      Delete
    2. jamni mm naota ivii naokota ela ten mia 5 na hua ni nyingi na nikiwa naokota nafurahia sana

      Delete
  2. Je ukimuotea ndugu mfano kaka Dada kapata pesa nayo inakuaje

    ReplyDelete
  3. Dah mimi hii ya kuota ninaokota hela nilikuwa nikitoa Sanaa na sahivi uchumi wangu upo ovyo Sana nafanya kazi lakini bado naishia kwenye madeni

    ReplyDelete
    Replies
    1. sio ww mm napat pesa ila haikai duuuh

      Delete
  4. Ukipita unapewa pesa nyingi umpe mtu mwingine unamaana gani.

    ReplyDelete
  5. Je ukiota unapewa hela na mtu na wakati anakupa nyingine zinadondoka chini na kuokota kuchanganya na zile alizokukabidhi na kutia mfukoni,, Nini tafsiri yake?

    ReplyDelete
  6. Mm nimeota nimepewa hela nyingi za not na mwanaume nini maaana yake

    ReplyDelete
  7. Nimeota nimeokota shilingi mis mbili lakin baada ya kuokota nikaanz kuikemea...inamaanish nn?

    ReplyDelete
  8. Kuota unaokota hela huku alodondosha wamjua unamwagizia zimfikie anatokea MTU ampola nawe wamkuta alompola warejesha tena inakaaje hapo

    ReplyDelete
  9. Kuota naokota pesa zilizofichwa ndani ya shimo nn maana yake?

    ReplyDelete
  10. Kuota unanyang'anya watu pesa nini maana take?

    ReplyDelete
  11. Nimeota nawanyang'anya watu pesa maana take nini?

    ReplyDelete
  12. Nimeota napewa pesa na asubuhi nimepoteza pesa maana yake Nini hivyo

    ReplyDelete
  13. Duh...m nmeota nakuta strafe za jero nying kwenye surual ya mme wangu....nkazitoa nkazihesab ilibak 2 kuzitunza

    ReplyDelete
  14. daaah jmniii

    ReplyDelete
  15. Ukisikia harufu ya noti 10000 Muda ukaokota kweli ina maanisha nn au kuona pesa mawazoni kisha ukapata ile ile

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI