UCHAMBUZI WA NYOTA NA TABIA ZAKE KATIKA MAFANIKIO YA KIMAISHA NA MAPENZIYA 'NYOTA NG'OMBE'




MUENDELEZO wa darassa zinazohusiana na nyota zenu hasa katika maisha ya mwadamu utafutaji ridhk mapenzi na mambo mengine ya siri. Leo tutaongelea nyota ya ng'ombe ikiwa ni sehemu ya pili baada ya jana kuongelea nyota ya punda anaykuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ.


Hii ni nyota ya pili katika ule mzunguko wa nyota 12 na watu wa nyota hii ni wale waliozalia kuanzia tarhe 20 April hadi May 20. Au watu wenye majina yanayoanziwa na heruf B,V na U na nyota hii ina jinsia ya kike. Kama umezaliwa kuanzia tarehe 20 April namaanisha 20,21,22,23 mpaka unapoishia mwez huo na ukaanza tena mwez April tarhe 1,2,3,4 mpaka 20 April ndio watu wa nyota hii pia kama huijui tareh yako ya kuzaliwa ila jina lako limeanziwa na heruf nilizozitaja pia na wewe ni miongoni mwa nyota hio.

   ASILI SIKU NAMBA NA RANGI ZA BAHAT

Asili  ya nyota hii ni Udongo sayari yake ni Zuhura siku yake ya bahat ni ijumaa namba yake ya bahati ni sita rangi ya bahat ni ya kijani.

  
  Kama unahtaji bahat utavaa rangi ya kijan kama unajenga nyumba itakuwa na mvuto zaid zikiwa na rangi ya kijani au pink au fangi ya blu mpauko hii ni katika nyumba au sehemu za bishara.
  
    VITO MADINI NA PETE ZA NG'OMBE

Ng'ombe kama utapata pete yenye kito cha almas au emarald ni nzur kwa mvuto wa shughuli zako sababu nyota hii inajinsia ya kike hata kwenye fedha hawatumii nguvu nyingi kama ilivyokuwa kwa punda

Nyota hii ina sifa za ukimya upole usikivu usawa ujeur na kitokukubali kubadilika pia wana sifa za kuzusha maneno

   KAZI VIPAJI NA SHUGHULI ZA NYOTA HII

Kazi na vipaji vya ng'ombe ni pamoja na muziki, kazi au biashara inayohusiana na chakula, hotel migahawa maduka ya vyakula, uzalishaji wa shamba, kazi za uhasibu.

Vipaji hasa ni uchoraji wa uchongaji vinyago.
Siasa wanaweza uongozi hasa katika sekta ya vyakula ama mashamba.

Wenye nyota hii husumbuliwa sana na marafhi koo taya na misuli.

    TABIA KIMAUMBILE NA MAPENZI YA NYOTA YA NG'OMBE

Wenye nyota hii ni watu wanaopenda kujishughulisha katika shughuli nyingi. Ni watu wakarimu na wanaopenda kusaidia watu, na wana tabia ya uvumilivu na subira katika jambo lolote wanalolifanya.
Ni watu wenye malengo na wenye msimamo thabiti, wasiopenda kupindishwa na wana tabia ya ubishi na ukaidi hasa katika jambo lao wanalolitaka.

Ni waaminifu sana katika mapenzi na wanaohitaji ulinzi katika mapenzi na njia au mwenendo unaoeleweka.
Pamoja na kwamba asili yao ni udongo, wanaweza kuwa ni wenye mahaba na mapenzi makubwa kwa wapenzi wao.
Uhakika wa mapenzi ndio jambo kubwa ambalo wenye nyota hii huangalia kwanza na baadae Penzi hilo liwe lenye hisia na mpangilio.

Pamoja na hisia kali walizonazo, wao ni watu imara na wasiobadilika hivyo kuwafanya watu wenye shauku kutovutiwa nao. Uaminifu ni jambo la pili ambalo wenye nyota hii wanalo hivyo kuwafanya wao wawe watu wenye kuaminika na hiyo inasababisha wawe wenye wivu kupindukia.

Wanachotakiwa kufanya ni kujitahidi kuwapa nafasi wapenzi wao la sivyo watajikuta wako peke yao. Ndoa kwao ndio uamuzi mzuri kuliko kuishi na wapenzi. Tabia yao ni ya kudumisha jambo fulani wanaloliamini au walilolianzisha na hawapendi kubadilishwa.

  USHIRIKIANO NA NYOTA NYENGINE

Katika mapenzi na biashara watu wa nyota hii wanatakiwa washirikiane na nyota ya nge japokuwa wenye nyota ya Nge huwa na wivu uliopotilza.

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

Wenye nyota wanatakiwa wale sana maepo na viazi vitamu.

Nyota inasimamiwa na tarehe yako ya kuzaliwa iwapo tarahe yako ya kuzaliwa huijui ndo unaangalia jina lako ila nyota haswa ni tarahe jina mtu unawwza ukabadilishwa hata majina matatu ukiwa mdogo, pia kama unaijua tarehe yako usishughulike na jina maana kuna watu akili zao hazichaj atauliza tareh yangu nyota nyengine na jina nyota nyengine fuata tarhe yako ndio yenye ukweli.
soma vzur maelezo na utulie kabla hujauliza swali pengine unachoulizwa kpo ila umesoma kwa papara, pili mwishoni mwa makala haya kuna namba hizo namba sio za kuchati ni kwa wenye matatizo na huwa haziingii mesej za kawaida ni whatsap au kupiga.

Ikiwa nyota yako sijaizungumzia fuatilia makala zijazo unaharaka utachangia gharama za uchambuzi wa private

+255621442936
Una tatzo lolote la afya uzazi nguvu za kiume kukuza dhakar biashara mapenzi kesi kuibiwa nk niachie ujumbe inbox

Whatsp group ni la malpo kwa wanaohtaj

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI