FAHAMU KUHUSU PETE ZA BAHATI NA UTAJIRI WA MAJINI NA MAKAFARA

UFAFANUZI KUHUSU PETE ZA BAHATI NA UTAJIRI WA MAJINI

BAADA ya kupokea maswali mengi juu ya pete za bahati pamoja na utajiri wa majini. Leo nimeona nitoe ufafanuzikuhusu hivi vitu tafadhali soma mpaka mwisho kwa umakini mkubwa.

Tunaanza pete za bahati pamoja na pete za majini. Hapa kuna vitu viwili tifauti tuelewane kwa makini.


 Pete za bahati zinaweza kukupa mvuto wa mwili katika shughuli zako sambamba na mapenzi.  Mfano mfanya biashara unaweza ukapata faida maradufu, msanii unaweza kupendwa na kufanya vzur ktk sanaa yako kupitia pete yako ambayo itakuwa ikikupa mvuto kwa kadri ulivyotengenezewa na mtaalam wako.

Hapa nyota yako ndio itakupa jibu ni kito gani kinafaa kukaa kwenye pete yako. Kuna kito cha mapenzi, pesa ulinzi na mambo mengine sasa km wahtaji vyote unaweza ukachanganya vito hivyo na ukavaa kwenye pete moja ambayo umetengenezewa au cheni au wengine huweka vito kwwnye walet zao. Narejea tena ili kujua vito ni lazma yajulkane masuala ya nyota yako. Kinachokufanya uwe na mvuto ni nyota ya uzawa.

Kwa wanawake wao huvaa cheni au hereni au pete za dhahabu iliyochanganywa na hivo vitu. Kwa wanaume km ni pete basi iwe ya fedha ndio italeta mvugo zaidi. Ila km uwezo haff kwa mwanamke pia waweza tumia fedha.

Kuhusu pete za majini zipo za aina mbili
Moja ni maruhan wa mtu mwenyewe hapa ndo mtu hupandisha na jini wake husema kuwa anahtaj pete ya aina fulan wakat mwingine huleta wenyewe maruhan na humpa kiti yao avae hizi hazina mashart makubwa n maelewano kati ya jini na kiti wake.


Aina ya pilihizi mara nyingi ni za mashart maalum kwa muhitaji waweza ukapewa sharti aidha ulete mnyama au sharti lolote utakpoweza utapatiwa hiyo pete. Na mara nyingi pia huendeshwa na masharti iwapo utafuata bas utapata pesa mara dufu ila ukikosea masharti hata hcho kidogo ulchonancho pia kitapotea

Ni hatari na si njia salama ila watu hupenda kutokana na hali ngumu za maisha
Na hii pia ni yakitaalam hivgo ujifunge kwa mashart ndo ufanikiwe
Yaweza ikawa kafara aidha wanyama au watu hutegemea na htaji la mtu.

Kuhusu majini unaweza ukaomba jini la pesa na ukapewa ukawa unaishi nalo lakini kwa mashartmaalum ndo unakuta mtu ana pesa lakn anatembea peku au havai nguo nzuri nk
Hili pia linahusisha na makafara ila uzuri wahili jini unakuwa nalo ndani kwenye chumbq maalumu ambalo litakuwa likikupa pesa tu
Hauhitaji biashara.

Kuhusu mizimu. Utaenda mzimuni na kafara la mnyama na matambiko maalum hutegemea na aina ya mzimu utaenda kuomba utakacho kwa manuizi maalumu utakayoptaiwa na mtaalam na utaweka maagano ewapo utafanikiwa utapeleka ulichokikusudia.

Kuna kafara za watoto, wazazi nk. Hii inahusiahana na utajiri wa misukure

Nimefafanua hapa ili kuepuka na maswali inbox sasa kila mmoja atakuwa ameelewa kuhsu hvyo vitu

Jambo la kuzingatia mm sitoi utajiri wamijini wala utajiri wa makafara natoa pete za bahati tu kulingana na nyota yako tuelewane hapa sina pete za majini wala utajiri wa kafara. Wengi mnatapeliwa kwenye hili. Na pete za bahat kuhusu bei inategemea na hitaji lako na nyota yako.

Mwenye shida ya nyota, maradhi, biashara, mapenzi, nguvu za kiume kuibiwa muhitaji wa petenitumie ujumbe inbox
Maswali uliza chini
+255621442936

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI