FAHAMU FAIDA NA MATUMIZI YA MTI WA MKUNDEKUNDE KWA AFYA NA UZAZI.



HUU unaitwa mkundekunde au mkundepori, mnuka uvundo, au muingajini na majina mengine. Mti huu ni dawa nzuri sana kwa wale wanaoamini tiba za miti shamba hasa kwa wanawake na watoto.


mti huu hutumika kurekebisha hedhi, hutibu matatizo ya uzazi, humaliza maumivu ya tumbo maumivu ya chango la uzazi, ngiri kwa watoto wakiume na hata wakubwa.

Kwa maumivu ya chango kwa wanawake na ngiri kwawanaume chukua mizizi ya mti huu na mizizi ya ndulele ziwe saba utafunga na uzi wa mgomba uliokauka chemsha tumia kwa kunywa mara mbili kwa ck ndani ya ck tatu

Maumivu yatakoma kisha tafuta dawa utibie kabisa

Kipimo n kikombe cha kahawa, mizizi saba yaani mkundkunde mizizi minne na ndulele tatu.

Kwa watoto wa wadogo wa kiume tafuta mizizi ya mti huu na miziz ya mpapai dume pia iwe saba bimaana yote kwa pamoja iwe vpande saba km mkunde mizizi mitatu basi mpapai mizizi minne funga km ilivyoelezwa hapo juu mchemshie anywe kijiko kikubwa kimoja mara mbili kwa ck.


Kwa maumivu tu ya hedhi kawaida tumia majani yake chemsha kunywa utapoa. 

Kwa wasafiri wanaotoka eneo moja kwenda eneo jingine aidha kikaz au matembezi unaweza kuutumia mti huu kutoa upepo mbaya ng'oa miti ifuatayo mizima na mizizi yake yake mkundekunde, mvumbas na mndulele weka kwenye sufuria utachemsha na uvumba tumia kuoga.

Kwa watoto wadogo wenye maradhi yale ya kitoto tumbo kutoka povu mdomoni mwili kulegea mchemshie majani ya mti huu na mvumbasi umuogeshe km n mdogo sana mfute pia anywe maji ya mzizi huu au mla ngamia.

Kwa wenye matatizo ya uzazi hushiki mimba chemsha mti wote miziz majani pamoja na maua na hzo kama kundekunde kisha utakunywa kikombe kimoja asubuhi na jion

Hii itakusaidia kuweka sawa hedhi na kurekebisha mfumo wa uzazi kama una hitilaf ndogo ndogo.

Angalizo kama una jini mahaba dawa ni kumtoa ndo ushike mimba njoo ofcn au fika kwa wataalam karbu nawe. Iwapo umefungwa kizazi mpaka ufunguliwe, chango lilokomaa mpaka liondolewe. 

Kwa watu wazima  kuumwa kichwa kizunguuzungu kischokwisha uchovu wa mwili bila sababu.

Tafuta  Majani Ya MVUJE, MPATA KUVAA, MUINGA JINI, UBANI KARAHA, MVUMBASI CHANGANY KWA PAMOJA CHEMSHA KISHAA TUMIA KAMA NYUNGU KUJIFUNULIA KISHA CHUKUA MAJI KDIDOGO CHANGANYA MAJI YAKO YA KUOGA FANYA MARA MBL KWA CK NDAN YA JUMA MOJA

Menginr tukutane kwenye groupla whatsp

Muhimu huu mti unapatikana maporini maeneo ya makaburi huko maeneo mnaoishi ukikosa ndo untafute 

Unahtaji dawa kwa tatizo lolote la uzazi, biashara, kazi mahusiano, ndoa, nyota mapenzi kesi nguvu za kiume nk niachie ujumbe inbox 

Group la whatsap ni la malipo 

Kams umelpenda somo ruksa kushea usikopi

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI