KUMUONA NA KUMJUA MWIZI WAKO ALIYEKUIBIA MALI, MKE MUME

IKIWA umeibiwa umeibiwa mali zako na humjui mtu aliyekuibiya hii inakupa muongozo wa kumjua mtu aliyekuibiwa haraka. Hii inajumlisha kuobiwa mali mifugo umeibiwa sehemu yako ya biashara watu wamevunja umeibiwa kwenye gari umekabwa mtaani fuata maelekezo yafuatayo.


Kwanza unatakiwa uwe na vtu vitatu katika shughuli hii. Upate chetezo chombo cha kuwekea moto, ubani ubani mashataka ubani makka na uvumba upate na kipande cha kitambaa cha kijan unaweza ukanunua au kukata katika ngu zako.

Shughuli hii inafanywa siku ya alhamisi usiku au jumapili asubuhi ndio siku maaalumu. Ila katika siku za kawaida utaandalia masaa yanayokuruhusu kukidhi haja yaan masaa ambayo dawa za kukidhi haja hufanywa.

Itaandikwa tarasimu hyo hapo chini kwa zafarani ziandikwe karatasi mbili mfano wa tarasimu yenyewe ni huu hapa.


Ukimaliza kuandika hizo tarasimu utawasha moto kwenye hicho chetezo utachoma hizo dawa nilizokuambia hapo juu kwa manuizi maalumu juu ya kile unachokikusudia.

Utasema mm nmeibiwa na aliyeniibia wala simjui wala simfahamu mm nmedhukumiwa ewe mwenyezimungu umetuagiza tusidhulumu wala tusidhulumiwe nakuomba unionyeshe mwizi wangu na arejeshe kile alichokiiba.

Utafusha hizo karatas moja utafunga na hcho kitambaa cha kijan nyengine utaiweka kwenye bahasha. Uliyofunga na kitambaa cha kijan utaiweka chini ya mto wakati wa kulala

Uliyoiweka kwenye bahasha utaiweka mlango wa sehem uliyoibiwa, ikiwa ni dukan weke mbele kwenye frem kwa ndani ikiwa ni chumban weka mlango wa chumba kilichoibiwa ikiwa ni shamba weka eneo mnalotumia kuingilia ining'ininize juu ya mti uliopo eneo la kuongilia. Ikiwa ulikabwa iweke mlangoni kwako.

Hii pia inatumika kumuona mtu anayekuchukulia mumeo au mkeo unaweza kuona mpaka gest wanazoingia ila matayarisho yake ni tifaut kidogo njoo ofsisini utapatiwa
 
Una tatzo lolote
+255621442936

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI