FAHAMU NJIA ASILI ZA KUPUNGUZA MAZIWA KUSIMAMISHA DEDE



LEO NAFUNGUA mwaka kuwapa zawadi wale wanaosumbuliwa na na maziwa makubwa au yaliolala ndala


Ofa yetu ya kutoa dawa inaishia kesho kama unahtaji dawa yoyote kwa bei punguzo fanya mawasiliano sasa

 NINI KINASABABISHA MAZIWA KUWA MAKUBWA AU KULALA

kuna sababu nyingi zinazosababisha mwanamke kuwa na maziwa makubwa au ndala sababu zenyewe ni kama ifuatavyo
*kunyonyesha muda mrefu
*kushikwa na kuvutwa
*mwili kuchoka
*maumbile
nk

VIPI UNAWEZA KUYARUDISHA MAZIWA YAKO YAWE KWENYE MUONEKANO MZURI
  
              KUFANYA DIET

Diet yenye viwango maalum itakufanya kupungua baadhi ya vitu kwenye mwili wako ikiwemo uzito na minyama uzembe na muscles kukaza.


Ili kupunguza ukubwa na unene wa maziwa unatakiwa wakati unafanya diet unatakiawa ule vyakula vyenye madini, vitamin na calcium
pia isipe siku hujala nyanya au carrot pamoja na cabichi


EPUKA SIGARA NA POMBE

               KUOGELEA
Penda kuogelea walau mara mbili kwa wiki na wakat unaogelea hakikisha huvai vtu vya kubana maziwa unatakiwa uyaachie yapigwe na mawimbi
ukkosa bahar hata ziwa swimming pool itakusaidia


               MAZOEZ 

MAZOEZ HAYA YANAFANYIKA NDANI KWAKO 

unaweza ukaamka asubuhi ukaelekea ukutani ukafanya kama unapiga pushap unapelekea kifua chako ukutani na kurud nyuma 
km mara hamsn
ukimaliza kibane kifua chako ukutan kwa dkka tano kam ilivyo bpichan

hii ni kwa wale maziwa yao ambayo hayajadondoka

sasa kwa yalidondoka inama chini hakikisha maziwa yako yamesimama kuelekea chini kisha yazuie na mto yapush kuelekea juu fanya hivyo mara kadhaa

pia kuna mafuta ya mimea na matunda ambayo utakuwa unapaka usiku na wakati unapomaliza kufanya mazoez

kupata mafuta hayo 0621442936

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI