DAWA ASILI YA KUMALIZA MAUMIVU YA MWILI NA VIUNGO KWA UJUMLA



Mara nyingi kutokana na shughuli za mwanadamu kutumia nguvu nyingi kukaa chini kwa muda mrefu Baadae hupata tatizo la viungo kuuma au misuli kuchanika kwa ndani

Kuanzia uti wa mgongo, miguu, kiuno misuli pamoja na maeneo mengine ya mwili. Hapa tunatofautisha Yale maumivu yanayotokana na hernia na chango hayo yanatiba zake maalumu.

Ukiwa na maumivu hayo tafuta dawa inaitwa alymit. Mafuta ya karafuu na Mafuta ya kitunguu saumu na mafuta ya ndimu. Vyote vinapatikana maduka ya asili 

Sasa utachanganya vtu nlvyovtaja na utakuwa ukichua eneo linalouma kwa dakika tano mpaka dawa iingie ndani kwenye misuli na mifupa
Hii hata kwa wenye ganzi ile inayoanza unaweza kutumia

Hii alymit ina maajabu mengi sana katika tiba za asili. Kwanza inaweza kukata mafua Mara moja utaichanganya na mafuta ya zaituni utapaka kidogo mwanzon mwa tundu za pua inafungua haraka hata kuziba pua 
Ina faida nyingi km ulipitwa soma masomo kwenye wall yangu. Pili ni mujarabu kwa kutuliza wapenzi wasiotulia masomo haya yapo group la whatsap.
+255621442936

Km maumivu yako yanasbabishwa na presha sukari chango ngiri tibia kwanza hvyo vtu maumivu yenyewe yataondoka

Vtu vya kuzingatia fanya mazoez wala mara mbili kwa wiki kuweka mwili sawa vtu nlvyotaja vinapatikana maduka ya dawa asili

Kwa dawa ya ugonjwa au una tatzo la mapenzi kazi kesi kuibiwa biashara nguvu za kiume uzazi nk niachie ujumbe inbox

Wanaohtaji group la whatsap ni la malipo.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI