FAHAMU KUHUSU MTURA NDULELE KATIKA KUMALIZA MATATIZO TOFAUTI



SEHEMU YA PILI

MAKALA ya kwanza niliongelea kwa urefu kwa kutibu baadhi ya maradhi kwa kina mama na watoto. Kama ilikupita soma kwenye ukurasa wangu mtabibu asili tz.


Leo naendelea na maradhi mengine

Maradhi ya kuumwa meno

Km jino limetoboka chukua mzizi wa mti wa mtura mkavu chemsha na chumvi kisha nyunyuzia kwenye shimo

Km halijatoboka sukutua Mara tatu kwa siku.

Kwa watoto wadogo wa kiume wenye ugonjwa wa ngiri kende kusinyaa. Chukua mizizi ya mti huu na mzizi wa mpapai dume itimie saba Chemsha mpe anywe kutwa Mara mbl kwa ck saba Kwa wakubwa Hii inatuliza tu maumivu kutokana mdudu kukomaa ukhtaj dawa nione.

Maumivu ya hedhi

Chukua unga wa tunda zake kijiko kimoja weka kwenye glass ya maziwa ni dawa mujarabu kwa kunywa. Tumia mpaka maumivu yakate.

Kwa matatizo ya uzazi

Hutumika mizizi ya mti huu mti wa mzalia nyuma mti wa mkunde pori na miti mingine mitatu hutengenezwa kwa mfumo wa unga na maji

Faida ya dawa hii huweza kusafisha mjia wa uzazi kwa wale wenye matatizo ya uzazi kwa kutumia madawa ya uzazi wa mpango wa kisasa. Pia huzibua mirija ya uzazi.
Tura inaweza kuongeza urefu wa kinembe 'kisimi' kwa wanwake wenye matatizo hayo narjea tena kwa mwanamke mwenye tatzo hilo chukua tura iliyokomaa toboa upate yale majimaji tumua kuchua kwa kukivuta kwenda juu fanya mara mbil kwa muda wa ck 7 kila ck tunda jipya.

. Tura pia huweza kudhibiti mume au mke kuchepuka. Tura pia huongeza mapenzi. Mizizi yake hutumika kwenye dawa za mapenzi haya nitaongelea kwenye group la whatsap sitajibu maswali kuhusu haya.

Maswali kuhusu mada hii  uliza hapo chini unaruhusiwa kushare usikop

Una tatizo lolote kuhusu mapenzi biashara kazi kesi kuibiwa kudhulumiwa nk kwa mahtaj ya dawa niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whatsap group ni la malpo kwa wajtaj

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI