NDOTO ZA NGUO NA TAFSIRI ZAKE KUIBIWA KUCHANIKA NGUO CHAFU NK



UKIOTA Kuibiwa nguo kwenye ndoto Ishara kuwa adui anapanga kukuondolea heshima na utukufi wako

Ukiota nguo yenye kung'ara mpaka inaumiza macho aidha umevaa umeletewa basi ni bahati nzuri utapata mualiko utapata pesa milango ya safar itafunguka km n msafiri kama ndoa utapata kama biashara zitafanyika. Ukimuona mtu amevaa nguo yenye kung'ara ndoton bas na yeye pia mambo yake yatakaa sawa.

Ukiota umevaa nguo mpya kwenye ndoto ishara ya kuzawadia kitu kutunukiwa kitu au kuapta ulichokusudia. Ukiota umevaa  nguo nyrus ni ishara ya mikosi ukiota umevaa nguo safi hasara.

Ukiota  umevua nguo chafu mikosi itaondoka kuvaa nguo zilizochanika utapatwa na aibu ukiota umevaanguo zenye nakshi utapata furaha faida katika utafutaji wako.

Mwanaume akiona nguo ya kike imeanikwa atapatwa na mabalaa na mitihan. Mwanaume aliyeoa akiota ameibiwa nguo zake nyumban ni ishara ya mkewe anapanga uadui wa kumsaliti au tayaar ameshafanya. Haliiadhalika kwa mwanamke ambaye ataoa ameibiwa nguo zake nyumbani.

Ukiota unafua nguo za maiti ni ishara ya kutatuka mtatizo yako au mpango yako iliyokwama kwenda sawa. Hali kadhalika ukiota unafua nguo zako chafu ni ishara ya kujitakasa katika mambo ya maovu


Ukiota mbuzi anakula nguo zako ni ishara ya kuingiliwa na mbalaa ya maradhi na dhiki.

Una tatzo lolote la uzazi kesi kuibiwa biashara mapenzi nguvu za kiume kujuza dhakar nk kwa dawa niachie ujumbe inbox

+255621442936 kwa mesej za whatsp tu au kupiga

Group la whatsp n la kulpia kwa wanaohtaj


Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI