JINSI YA KUMJUA MPENZI UNAYETAKA KUOANA NAE JE YUAFAA AU HAUFAI NiNI UREKEBISHE MAMBO YAWE SAWIYA



JINSI YA KUJUA KAMA MPENZI WAKO ANAKUFAA AU HAKUFAI

NILIWAHI kuandika mambo ya kuzingatia kabla hujaingia kwenye ndoa. Nikazungumzia habar za nyota zinazoendana nikaweka makala nyengine inayozungumzia saa na siku nzuri za kufunga ndoa kulingana na nyota zenu leo tuangalie je anakufaa au hakufai.


Pia anaweza akawa hakufai lakini unampenda nini kifanyike. Na je ikiwa umeshaoa na ukagundua hukuwa hakufaia hakutakuwa na mafanikio kwenye ndoa hakutakiwa na watoto wala mali jambo gani lifanyike ili usimuache na mambo yakae sawa fuatilia darassa kwa umakini

Leo nitagusia senetes moja tu kwenye kitabu kikubwa cha saaatul habar kitabu kinachozungumzia milango ya saa hesabu na majibu katika maisha ya mwanaadamu sasa unataka kuoa au kuolewa ufanye nini kujua

chukua  jinaa la mpenzi wako baba yake na mama yake yaani matatu kisha chukua kila jina heruf moja ya kwanza mfano mpenziwako aitwa Harith baba yake Ubaid Mama yake Maryamu utachukua H+U+M nenda kwenye alfabet  A mpaka Z  kwa kuzipa namba. ziandikie namba yaan A ipe namba moja B namba mbili C namba tatu mpaka Z itakuja namba 26
Angalia vzur picha
     Utazipa namba kama ilivyo hapo juu

Kwenye kila heruf katika mfano hapo juu iweke namba ya heruf husika mfano H ni  8 na U ni 22 na M ni 13. Utaweka namba kwenye zo heruf  H+U+M=  NI SAWA  na 8+22+13= 43 


ukipata jibu ikiwa zitakuja namba za tarakimu kuanzia mbili utazijumlisha ikiwa itabaki namba yenye tarakimu moja utaangalia majibu yanasemaje.

Tukiangalia mfano wetu imebaki 43 tutachukua 4+3 tutapata jibu ni 7 utasoma namba na maelezo yake huko chini zmefafanuliwa


Kwa mfano ingebaki namba inayogawanyika tungeigawa kwa mbili au tatu tungeigawa pia

Ukipata namba iliyobaki sasa unasoma jedwari hili chini mfano ingebaki moja 

1basi huyo mpenzi wako hafai na kama mmefunga ndoa basi ujue hakuna kitu hapo na hamtadumu. Na ikibaki mbili 

2basi huyo mpenzi anakufaa na mtakubalika pande zote mbili, na ikibaki tatu 

3mtapendana ila ndoa yenu itaingiliwa na ndugu na mambo ya kishirikina, na ikibaki nne 

4mapenzi yenu yatakuwa kama kumbikumbi na mtabahatika kujenga nyumba pia kurithi mali na ikibaki tano 

5 tumia kila njia kumpata huyo mpenzi kwani utajiri mtaupata na hakutatokea tatizo, ikitokea sita 

6basi huo ni mlango Wa magonjwa (maradhi) kuugua ugua mara kwa mara kifamilia, na ikibaki saba

 7ndoa ipo na hakuna shaka, na ikibaki nane 

8 hiyo ndoa haifai kwani mmoja wenu atamuua mwenzake kwa mkono wake salama yenu kuachana, na ikibaki tisa 

9 hiyo ndoa haifai muwe karibu kila mtu anatakiwa kuwa mbali na mwenzake na mkutane kwa ajili ya kutafuta watoto tu.

Nafikiri itakuwa umeelewa sasa ikiwa hamuendan kuna njia za kubadilisha majina ndio maana unaona wengine baada ya ndoa mume humpachika jina ambalo litaendana na hizo hesabu hapo jui.

Pia wale waliowana tayar zipo njia za kitaalam za kurekebisha hizo habar fika kwa wataalam karibu nawe watakutengenezea au njoo ofcn

Hata kubashiri mpira pia hutumika hesabu katika saatul habar. Pia kumtafsiri mtu mambo yake ya baadae ni elimu pana sana


Una tatzo lolote la uzazi kesi kuibiwa mapenzi kuuza kudhulumiwa nyota biashara nk niachoe ujumbe inbox 
+255621442936

 group la whatsp ni la malipo kwa wanaohitaj


Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI