UKIOTA UPO KIJIJINI, KUYARUDIA MAISHA YA UTOTO TAFSIRI YAKE



UKIOTA upo kijijini ulipozaliwa inakuwa na maana mbili kubwa kindoto. Fuatana nami kwwnye makala haya mwanzo mpaka mwisho upate kufahamu zaid.


Kama uliondoka kijijin kwenu kwa zaid ya miaka kumi na hujawah kurud bas ndoto za namana hii lazma zikuandame. Na ukiwa katika hali hiyo ujue  unakumbushwa kwwnda kuzuru nduguzo walio hai na kutembelea makaburi na kuwaombea dua

Kama umekuwa na mitihani ya kimaisha kazi mapenzi na ukawa unahangaika sana pasina mafanikio yoyote na huku ndoto za kijini zikikujia mara kwa mara na ukiwaona aidha mababu au mabibi zako ukiwa nao huko.

Tafsir yake unaandamwa na mikoba au matambiko ya asili. Ikiwa unaota sana kijijini kwa baba yako basi ujue tatzo lipo upande huo kama n mizimu inayokusumbua ipo upande huo. Na kama ukiwa unaota upo kwa mama ndugu wa mamaako basi ujue tatzo limeanzia upande huo.

Kikubwa ni umakini katika ndoto zako na ukizangatia yale matendo unayoyaota katika ndoto. Ukifuatilia kwa umakini unaweza ukapata pakuanzia.

Ukiota umeyarudia maisha ya utoto bimaana ukiota mitaa uliyokuwa unalelewa ukiwa mdogoni ni ishara ya anguko la kiuchumi au kwenda kombo mipango yako

Hii inaambatana na ndoto za shule ambazo nmeshazitolea ufafanuzi tafuta makala hyo kwenye page yangu kusoma kwa urefu

Nini ufanye baada ya kujua tatzo sasa kama una vifungo vya mizimu ya umaman au ubabni wasiliana na wakubwa wa ukoo wako wataweza kukupa muongozo nini kifanyike kama n mtambiko au makafafa nk

Ndoto za kuanguka kiuchumi hii ni ishara sasa watakiwa ujiwahi mapema kufanya tiba za kukinga mali zako au kazi zako lakini pia na kuukinga mwili wako.

Una tatzo lolote la kinyota mapenzi kazi biashara kesi kuibiwa kuuza ndoa uzazi nguvu za kiume  nk

+255621442936

Whatsp group n la malpo owa wanaohtaj

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI