FAIDA ZA MTI WA MRONGE KATIKA MWILI WA MWANADAMU



KWANZA kabisa mronge ni mti wenye virutubisho vinavyoweza kurudisha na kuboresha afya ya mgonjwa aliyeugua kwa muda mrefu hadi kusababisha mwili kupoteza nguvu za asili.


  Mwili ukipoteza nguvu huweza kusababisha tatizo la nguvu za kiume, kukosa hamu ya tendo kushambuliwa na magonjwa nyemelezi pamoja na mambo mengi

Kurudisha nguvu kwenye mwili unaweza ukatumia supu ya mronge chemsha majani kwa wastani kisha kunywa ule mchuzi wake utapata matokeo ndani ya majuma mawili

magonjwa ambayo yanaweza kutibika kwa mronge ni kama ifuatavyo

MAUMIVU YA MIFUPA NA VIUNGIO

tafuta mzizi wa nronge chemsha kunywa kutwa mara mbili kwa siku saba mungu atakufanyia wepesi

KAWA WANENE WANAOTAKA KUPUNGUA NA

WENYE PRESHA

chukua kijiko kimoja cha unga wa mronge weka kwenye chai au uji. Huku ukiendelea kutumia dawa za kupungua na kfanya mazoez baafa ya muda kadhaa utajikuta unakuwa na umbo zuri.

KWA TATIZO LA PUMU

Chukua mzizi wa meonge uumenye uchukue lile la ndani linaloonekana kama muhogo kisha uanike ukauke saga upate unga kisha utachukua kiasi uchanhanye na yai la kuku wa kienyeji kaanga ale mgonjwa Mara mbili kwa siku

Pia mchana apate kikombe cha vuguvugu aweke unga huo anywe dumu kwa siku 21 mungu atakuponya

KUTIBU HENIA BILA KUPASUA

Tafuna MBEGU tatu za mronge Mara TATU kwa siku kisha chemsha mizizi ya mronge pia unywe Mara TATU kwa siku kadhaa mungu atakuafu

WASIOSHIKA MIMBA

TAFUNA MBEGU ZA MRONGE TATU MAFA TATU KWA CK PIA TUMIA UNGA WAKE KWA KUNYWA NA UJI WA ULEZI AU MTAMA FANYA KWA CK 21

Hii hausiani na chango vifungo wala jini 

mahaba

MARADHI YANAYOWEZA KUTIBIKA KWA UNGA WA MRONGE

KUREKEBISHA MZUNGUKO WA HEDHI

KUREKEBISHA SUKARI KWA WAGONJWA WA SUKARI

KUTIBU PRESHA

KUPANDISHA KINGA YA MWILI

KUPANDISHA CD4 HARAKA KWA WATU WALIOATHIRIKA NA HIV

KIUNGULIA

pamoja na maradhi mengine

Matumizi ni kunywa na uji

Unaweza ukatumia unga wake mzizi au mbegu kwa maradhi mengine pia hutibu vidonda vya tumbo, mafuta ya mti huu ni mujarabu kwa maradhi yote ya ngozi maradhi ya tumbo na wakati mwingine nywele pia pitia ukurasa wetu kuna makala inayohusiana na mafuta

Nb huu mronge unapatikana majumbani mwenu maana kuna watu watauliza mronge ndo nini na unaptikana wapi mwenye kuhtaji unga amba mbegu zake  km utakosa eneo ulipo ndo unitafute

Una sumbuliwa na hedhi uzazi, mahusiano kazi, ndoa nyota biashara kuibiwa ndoa nk

 0621442936 kwa kupiga ama whatsap jumbe za kawaida haipokei

 whatsap group ni la malipo

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI