FAHAMU KUHUSU KIKULAGEMBE DAWA YA UZAZI NA MARADHI SUGU FAIDA NA MATUMIZI YAKE
- Get link
- X
- Other Apps
.
KIKULAGEMBE ni miongoni mwa miti dawa inayoaminika katika matibabu kwa muda mrefu hasa kwa wanaoamini dawa za asili. Kisura unafanana na mti wa mkwaju bimaana vile vijani vyake lakini huu ni mdogo hauwi na kimo kikubwa kama mkwaju pia una kama vimiba hivi.
Una majinaengi kulingana na lugha n maeneo husika nimekuwekea picha ili uangalie pengine lugha yenu hauitwi kikulagrmbe. Kitaalam kuna muda hiluitwa mkulajembe au muinua shoka lakini majina haya ya kitaalama kuilingana na kazi zengine ambzo mtu wa kawaida hawez fanya. Tufahamu katika ulimwengu wa dawa kwa maradhi ya kawaida.
Maumivu ya hedhi yaani ukipata hedhi unaumwa unaweza chemsha mizizi ya mti huu ukanywa kutwa marw mbili kww siku tatu huweza kutuliza maumivu haraka.
Maumivu ya chango mizizi yake utachananya na mizizi ya mkundekunde au mkunde pori mizizi ya ndulele na kivumbaz mizizi pia utachemsha utakunywa kama nlvyoeleza hapo jui. Kuwa makini ni mkundepori ukinywa mizizi ya kunde tunakuzika ni sumu elewa kuna tofauti kati ya mkunde wa kawaida na mkunde pori angalia makala zilizopita.
Kwa wale kina mama waliotumia madawa ya uzazi wa mpango wa kisasa na wakaathirika kizazi bimaana hedhi hazitoki maumivu ya tumbo uchafu wenye hatufu ukeni tafuta.
Kikulagembe mizizi majani ya sanamaki na mizizi ya mkunde pori utachanganya pamoja chemsha kunywa kikombe kidogo cha chai kutwa mara mbili kwa siku saba. Itakusaidia kutoa sumu soma makala ya madhara ya kutumia njia za uzazi za kisasa uone balaa utakalokumbana nalo.
Pia mizizi hutibu maumivu ya ngiri lakini huu ni kwa wakubwa tu, utachukua mizizi yake utachemsha utakunywa pale wakati unaposikia maumivu ya ngiri au korodani kupanda juu inaachia haraka.
Mizizi yake pia huweza kutumika kama njia mbadala ya uzazi wa moango hutungwa pamoja na ushanga kisha muhusika huvaa kiunoni utayarishaji wake na uchimbaji wake njoo ofcn utapatiwa
Hutumika kwa hommon in ballance na masuala mengine mengi ya uzazi yasiyogusiana na vifungo wala jini mahaba kama shida yoyote ya uzazi kuna namba mwisho wa makala au tuma ujumbe inbox ya page.
Unatumika katika mambo mengi lakini ukichanganyiwa hautumiki pekee hutumika kwenye matego ya wake na waume na uteguzi wake pia hutumika kinga kwa wendawaziku nabmambo mengine mengi. Mambo yanayozungumzika nitaeleza kwa uoana kwenye group yasiyozungumzika njoo ofcn kikazi.
Una tatzo lolote la hedhi uzazi kazi biashara mapenzi kesi kuuza kuibiwa nk niachie ujumbe inbox
+255621442936
Wanaohitaj group la whatsp ni la malpo
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment