FAHAMU KUHUSU KINYWAJI ASILI CHA KUONGEZA NGUVU NA KUKUPA AFYA



Habari za muda huu
Kwa wale wanaohitaji kinywaji cha kuongeza afya mwilini na kutoa sumu fuata maelekezo.

Kinywaji hiki kinaweza kukupa nguvu baada ya kutumia energy drink.


Kwa wale waliokuwa wanatumia dawa zozote kwa muda mrefu kinaweza kukuondolea sumu

Pia kwa wale watu wa diet inawahusu pia

     MAHITAJI
carrot
ginger
Limao
Beets

Tengeneza juisi yako na unaweza kukitumia muda wowote na pia unaweza kutembea nacho kwa nyinyi mnaoenda maofini

UNAWEZA UKAONGEZA PILIPILI MANGA NA HABBATSOUDA KUKUPA NGUVU ZAIDI

Beetroots zinapatikana masokon km upo dar fika kariakoo

Maswali kuhusu somo uliza hapa chini

+255621442936

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI