MAMBO YAMPATAYO MTU KUTOKUOGA KUJITWAYARISHA JANABA, HEDHI NA NIFASI



KWANZA tufahamu janaba ni josho linalopatikana baada ya kufanya jimai 'tendo la ndoa', nifasi ni damu inayomtoka mwanamke wakat wa kujifungua na hedhi ni ile damu ya kila mwezi anayoipata mwanamke akiwa kwenye siku zake. Sasa hv vna sheria zake za kujitwayarisha unapomaliza kuwa katika hali hiyo.


Haya niliyobainisha hapa juu moja tu ndilo limpatalo mwanaume na ni janaba. Wakat kwa mwanamke mambo yote matatu anayapitia na anahtajika kujitwayarisha mara baada ya kuisha hyo hali. Ukiangalia kwenye misiba mashulen makanisan idadi kubwa ya watu wanaongoza kuanguka kwa kuvamiwa na mapepo ni watoto wa kike wanawake.

Hii ni kutokana na miili yao kuwa michafu baada ya ya matokeo ya kutojitwayarisha kwa muda unaotakiwa hvyo vile viumbe vichafu majini huwaingia katika miili yao kiuwepesi. Hata ukiingalia idadi ya watu wanaongoza kuingiliwa na majini mahaba ni wanawake ndio wengi zaid kuliko wanaume.

Mwanamke anapojifungua hutakiwa kujitwayarisha mara baada ya kukata ile damu ya uzazi. Kiutamaduni wetu mtu hutiwa maji siku ya arobain baada ya kujifungua lakini kisheria yatakiwa mara baada ya damu kukata na kuna wengine hata ikifika hyo arobaini yenyewe hawajitwayarishi kama inavyotakiwa.

Mwili wa binaadam ukiwa mchafu ni rahisi kwa majini wabaya kupata kukudhuru kiwepesi zaid maana na wao pia wanapenda vitu vichafu. Mtu ambaye hayupo twahara haruhusiwi kushika quraan haruhusiki kuingia msikitini wala kuswali hata kufunga pia hauruhusiki.

Mtu akikaa na janaba na yakakuktana kwa siku saba yaan umejamiiana leo hujaoga kisheria kesho ukajamiana tena zikafika siku saba mwili wako unakuwa na nuski unakuwa umetengeneza vifungo mwenyewe bila kurogwa na mtu yoyote. Kila ubaya uliotupwa njia panda hata kama hujakusudiwa wewe ukipita lazima utakumbana na upepo wake.

Na mtu huyu akiwa ni wa kiume akakutana kimwili na mwanamke ambaye amepitisha hedhi tatu bila kuoga kisheria anajiongezea vifungo tena mwenyewe pasina kujua bila kurogwa. Kuna vitu huwa tunavizalisha wenyewe pasina kujua kutokana ima na kudharau vtu au kutokujua kwetu.

Mwanamke anayetoka nje ya ndoa yake na mwanamme mwengine ikiwa huyu mwanaume wake ana nuksi basi mwanamke huichukua ile nuksi na kirejea nayo nyumbani kwake na kumpachika mumewe. Sasa ikiwa huyu mume yeye kapitisha janaba siku saba ukimpa na hyo nuksi uliyobeba huko huyu unakuwa umempa kofungo kikali ambacho atazunguka nacho sana.

Angalia sana wanawake wengi wanaotoka nje ya ndoa zao na wanaume tofaut mumewe hukumbwa na balaa kubwa la ukosef wa ridhki labda na yeye mwenyewe awe mtundu wa kutoka toka kujiweka sawa kila baada ya muda fulan. Kwa mwanaume si sana kubeba vtu kwa mwanamke mmoja kupeleka kwa mwingine sababu ipo kisheria mwanaume kuoa wake wanne ikiwa anadhini basi hubeba na yeye kirshc na kurud navyo nyumbani.

Pia mwanamme huathirika kiafya na kinyota kwa kuchanganyiwa manii na mwanaume mwengienwapemben. Chunguza wanawake wengi watokaje waume zao hawapo sawa kiafya hata ukiwaangalia tu kimacho ya kawaida unaona huyu bwana mgonjwa mgonjwa.

Tuishie hapo mambo muhimu yakuzingatia ni kutulia kwenye ndoa zenu. Kujitwarisha kila unapopata josho iwe hedhi nifasi na janaba ili kuuweka sawa mwili wako wakat wote.

Una tatzo lolote la hedhi nuksi uzazi nguvu za kiume kukuza dhakar mapenzi biashara kesi kuobiwa nk kwa dawa na mafanyo niachie ujumbe inbox

+255621442936 kwa whatsp 

Kufahamu jinsi ya kujisafisha na kujitwayarisha hayo majosho bonyeza hapo chini

http://tabibuasili.blogspot.com/2020/08/namna-ya-kujitwayarisha-kukoga-janaba.html

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI