Posts

Showing posts with the label madhara ya uchawi

SIRI NA MATESO YA UCHAWI UNAPOITWA USIKU, USINGIZINI USIITIKIE

Image
MUENDELEZO wa darasa zinazohusiana na matatizo yanayoletwa na wenzetu wenda usiku. Ikiwa umefuatilia makala zilizopita za uchawi basi kichwa chako kimeshaongeza kitu na umakini zaidi katika maisha. Nimefafanua kuhusiana na mitego kadhaa ya wanga namna unavyoweza kuingizwa mtegon na jinsi ya kujinasua, piq nikagusa namna ya kuingizwa kwenye chama cha wanga. Leo nakupa kitu kingine adhwimu, najua hutakuja kunisahau kwenye maisha yako kama utakuwa umelike hii page kuna siku itakuja kukufaa darasa zangu. Ikiwa si wewe basi familia yako. Ulishawahi kusikia unaitwa usiku alaf aliyekuita usimuone au umelala kisha ukaota unaitwa na ukakurupuka ukahisi haupo sawa kimwili wala kiakili. Wanga wana njia za kuita watu majina pale wanapotaka kufanya jambo lao. Yaweza kuwa umeitwa ili kujumuika kwenye kikosi usiku hawa ni wale wanaotumika pasipokujua. Unaweza ukawa unaitwa ili saut yako itumike kama funguo katika kuzima au kukatisha mambo yako. Pia yaweza kuwa unaitwa ili utolewe msukure.

KUHUSU UCHAWI KUJUA KAMA UMEROGWA, JINSI, YA KUWAONA NA KUJIKINGA

Image
KWENYE kundi la wanga basi asilimia kubwa ya waumini wao ni wanawake. Ukikuta kikundi cha watu kumi basi sita mpaka saba ni wanawake na idadi chache iliyobaki ni wanaume. Hii inatokana na wanawake kupenda zaid kujaribu kila kitu wanachokisia, pili wanawake ni watu wepesi kimwili hivyo hata hatua zake za kuingizwa huwa rahisi zaidi kuliko wanaume. Kuna hatua kadhaa za kuongizwa uchawini kuna siku ntatoa darasa linalohusu hizi hatua tu na lakini kwa uchache nitazitaja pasina uchambuzi wake au wawezajiunga kwenye group ukapata mafafanuo zaidi. Kuna mtu anaingia kwenye chama kwa kutaka mwenyewe tena hufikia hatua za kutoa rushwa ili aingizwe. Kuna watu huingia kwenye chama kwa kurisihwa. Kuna watu huingizwa kwenye chama na marafiki zao wanaokuww nao muda mwingi hapa ndio kundi kubwa la wanawake hujikuta humo. Kuna watu huingizwa kwa makubaliano maalumu. Sasa uchambuzi wa kina kama nilivyoeleza. Kuna mtu aliyewangiwa bimaana amepigwa sihiri. Kuna mtu anayetaka kuingi