KUSAFISHA NYOTA, MVUTO WA BISHARA KWA KUTUMIA MUOSHA FEDHA

FAHAMU KUHUSU MMEA WA MUOSHA FEDHA

Muosha fedha unaingia kwenye orodha ya mimea saba ambayo inafanya kazi kubwa katika hitaji binaadam. Mti huu huweza kungarisha nyota, kuvuta watu biashara pamoja na mambo mengine.mwingine

Miongoni mwa miti saba ambayo inafanana kikazi na muosha fedha ni pamoja na mwita, mfunguo, muharaka miti mitatu naihifadh.

Miti Hii km utaiweka pamoja inaweza kukupa matokeo haraka kwwnye kazi iliyokusudiwa. Itategemea na kusudio lako nia na mafanyo uliyopatiwa na mtaalam wako.


           NAMNA INAVYOTUMIKA KWA TIBA

Hapa kwqnza lazima ufahamu kila jambo linatibiwa kulingana na chanzo chake. Ikiwa ni mikwamo ya biahsra, mambo yako binafsi hayaend, masuala ya kazi, masuala ya kimapenz iwe kesi ni shart kwanza uangaliwe shida ni nn ifanyiwe kazi kisha ndipo mambo mengine yanafuata maelezo nitakayoyaweka hapa chini yatakusaidia kwa muda ikiwa hujashughulikiwa tatzo. Ila kama utashughulikiwa tatzo lako kisha ukafuata maelezo haya itakuwa umejinasua pale uliponaswa.

Na kuhusu kushughulikiwa ni shughuli za kitaalam hivyo unaweza kufika kwa wataalam walio karb nawe wakaangalia ama kuja ofisin kwa kuwasiliana namba zangu zipo mwisho mwa makala haya.

Ikiwa biahsra haziend huwenda sehem yako ya biashara imefungwa, au mwenyewe umechezewa nyota upande wa kipato. Ikiwa mapenzi yanakusumbua huwenda umezidiwa na mru mwingine huwenda nyota yako imeshushwa mvuto huwenda una majini huwemda mambo ya kimizimu ya ukoo yanakusumbua hivyo kuna sababu nyingi zinazozaa mikwamo. Jambo la mwanzo ni kuangaliwa shida ipo wap kwanza ikashughulikiwa chanzo cha tatizo kisha ndipo mambo mengine yakafanyiwa kazi hivyo nasisitiza hili jambo wengi wanalalamika wanenda kwa wataalam wanashughulikiwa lakini hawaon matukio wengine wanasema wanatafauta madawa wananunua hawapat matokeo yaliyoandikwa wengine husema wanapata matokeo kwa muda kisha hali mbaya hujirejea tena yote hamshughulikii vyanzo vya matatizo munadili na matokeo.

        MATUMIZI  KUHUSU BIASHARA

Unahitajika uwe na muosha fedha, mwita nyota, muharaka, mvuto, mchaachaa, ngekewa, mmeremere, mkumbukwa na taka za bahari zinazoletwa na maji kisha upate chumvi ya mawe ya bahari na ambari konki na ambar nyeupe orijino.

Utachanganya vitu vyote kasoro ambar nyeupe orijino. Kisha kazi yako itakuwa ni kuchoma alfajiri wakati watu wanaanza pirika wewe unachoma sehem yako ya biahsra na jion saa kumi na mbili fanya kwa siku 7. Ambar nyeupe itafutie kitambaa cheupe iweke sehem yako ya biahsra hakika utafaid mavuno.

Kama utapata na tarasimu za kuzidi kutia nguvu eneo lako la biashara itapendeza zaidi. Vitu nilibyoandka vingi vinapatikana maduka ya dawa aaili vichache ndio maporini ila hapo kwenye ambari orijino yakupasa uwe makini zaidi sana.


muosha fedha

         KWA KUUPA MWILI NURU KUOUNGUZA MAZONGE

Wakat huo ushatibiwa chanzo cha tatzo lako tafuta vitu vifuatavyo. Ukindu ule watu wanaotumia kusho mikeka vikapu nk upande chane saba. Unga wa muosha fedha unga wa nyota na nyota yenyewe inaitwa nyota ya jaa upate na unga wa majani ya mbaaz yalioanguka yenyewe kisha utwange upate na unga wa mwembe jini. Yai la kuku wa kienyeji na nazi ya mdondo

Ukikosa ukindu uoate kamba ya kuokota zenye mafundo mafumdo. Kama umeoata kindu utafunga kila chane fundo moja wakati unafunga utasema mimi nimefungwa kilakitu na alienifunga simjui sasa namimi nimejiongezea kifungo nafunga njia zangu pia nafunga ufalme wangu na nafunga nyota zangu hadi siku zitakapo fungua hizi kamba. Kisha unaziweka mchagoni yaan chini ya mto wako au inua godoro weka pale unapoweka kichwa chako ikae siku tatu iwe kamba ama ukindu ikiwa kamba maanae inakuwa na fundo tayar utazungumza na kuiweka tu.

Siku ya tatu ytakiwa uwe na maji ya visima saba vya wazi na mani ya bahari ya kujaa. Utaweka vtu nikivyotaja hapo juu na hizo kamba pia ndani yake. Oga mhayo maji na njr sio choon kisha Utaanza kutoa hizo kamba huku unazifungua kwa kitamka maneno haya.

"alie nifunga alijua kamaliza sasa kuanzia sasa najifungua" Ukimaliza kuzifungua uzichome moto halafu nazi na yai ni vya kuvuja kwa manuizi, Unasema wewe yai umefungwa na sijui kama unamtoto wa kike au wa kiume namimi sijui alie nifunga kama ni wa kike au ni wa kiume nitakavyo kufungua wewe yai namimi nifunguke haraka sana, unalivunja. Kisha unakamata nazi unasema wewe nazi hufunga na kufungua namimi najifungua kuanzia sasahivi nafungua nyotayangu, nafungua ufalme wangu, nafungua bahati zangu kwa uwezo wa muumba mbingu na ardhi.

Ukimaliza kuvunja angalia nazi yatakiwa ifunuke bipande vyote ikiwa imejifunika wasilaiana na mtaalam aliyekufanyia kazi ya kwanza bado kuna shida kisha zoa katupe jalalan

Kwa ajili ya bahati au mvuto wa mtu
Tafuta muosha fedha unga Unga wa Misk Mafuta ya Misk Mafuta ya alizet

Changanya pamoja Paka na kuchoma kwa manuizi ndani ya ck 7 biidhini llah mambo yako yatafunguka 

Kazi zote muelekee mungu kwanza kwani alisema niombeni hakika nitawajibu.


unga wa muosha fedha

VITU NILIVYOVITAJA VINAPATIKANA MADUKA YA DAWA ASILI NA VINGINE VICHACHE NI MAPORN HIVYO UNAWEZA KUOMBA MSAADA KWA WATAALAM WALIO KARB NAWE KUVIPATA VYU AMBAVYO UTAKOSA DUKANI.

+255621442936

KWA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA, MAPENZ, BIAHSRA, NGUVU ZA KIUME, KUKUZA DHAKAR, UZAZI,NK PIGA SIMU KWA NAMBA ZANGU KAMA UNATUMA UJUMBE BASI WEKA MAELEZO YA KUTOSHA JUMBE FUPI SITAZIJIB

WALE WWNAITAKQ KUANGALIWA SHIDA ZAO OFISI IPO TANGA WILAYA YA PANGANI MNAOTUMA UJUMBE WEKA MAELEZO YANAYOELEWEKA


Comments

  1. Asante doctor kwa kunifungua

    ReplyDelete
  2. Je naweza pata hizo vifaa kutoka kwako? Je hii ni uganga au tambiko?

    ReplyDelete
  3. Naeza pata aje izo dawa .niko kenya

    ReplyDelete
  4. Naeza pata aje izo dawa .niko kenya

    ReplyDelete
  5. Ninashida yakukataliwa na familia ya bwanangu, yaani familia ya mama mkubwa was bwanangu nifanyeje ninateseka

    ReplyDelete
  6. Nimependezwa sana na elimu yako daktari mimi niko Kenya nanigependa tuonane

    ReplyDelete
  7. Unaweza kujua shida za mtu bila kuelezewa

    ReplyDelete
  8. Nipo ktk vifungo vizito na sijuhi natokaje naomba msaada dr

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nmeweka namba kwa ajili ya watu wenye shida

      Delete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI