BIMBILISA MAVI ANAVYOTUMIKA KUMUADHIBU MWIZI, KURUDISHA KILICHOIBIWA NA KUPEPERUSHA WATU

DAWA YA MWIZI AU MTU ALIYEKUZULUMU

HII ni kwa wale walioibiwa jinsi ya kurudisha ktu chako na kuadhibu mwizi haraka

mahitaji

UNGA WA MAJAN YA MBAAZ
KITAMBAA CHEUPE
BIMBILISA MAVI NA MZIGO WAKE
MRINGARINGA
MCHANGA WA ENEO LILILOIBIWA

MAANDALIZI

SAGA VTU VYOTE UPATE UNGA WAKE uweke juu ya kitambaa  kisha nuia unachotaka kwa mwizi wako
Mfano kaiba kuku basi awikie tumboni kama simu iitie

tumboni kama hela basi asikie chenchi tumbon

n.k. kisha ukimaliza kunuia vifunge pamoja

kavining'inize panapowashwa moto kila siku

NDANI YA CK SABA UTAPATA MAJIBU KWA KILE ULICHOKIKUSUDIA


Atakapokuja kumuopoa kwake fungua kisha mwaga kila kitu

Ucfanye kwa kuonea watu na huyu bimbilisa mavi anaweza kutumika kusafirisha mtu asirudi tena


Mdudu huyu pia waweza mchoma n mzigo wake unga wake hutumika kutibu vidonda sugu visivyopona unapaka.

KUMUHAMISHA AU KUMPEPERUSHA ADUI

KAMA una uadui na mtu labda amekutendea uovu, amekudhulumu amekuchukulia chako fuata taratb zfuatazo

Chukua nyayo zake km n wakike mguu wa kushoto km n wakiume mguu wa kulia

Upate

Sanda 

Pilipili kichaa

Bimbilisa mavi na mzigo wake ni vzur umpate aliyekufa

Saga vtu vyote hapo juu changanya huo mchanga wa unyayo wake

Weka kwenye sanda funga vzuri

KAa chini somea Surat munafiqun Mara Saba kisha Tia nia 

Subr jua linapozama nenda kwenye mkondo wa maji unaotembea 

Sema hivi ." Kama pilipili kichaa inavyowasha nataka na Huyu adui wangu fulan bin fulan awashe aone mji mchungu achukue mizigo yake kama mdudu huyu bimbilisa mavi anavyozurura basi na yeye aelekee mbali kabisa na mj na kama maji haya yanarudisha mizigo bas arud na kama yanapeleka tu bas atokomee" Weka mzigo wako majini utembee ondoka usigeuke nyuma

Ukfka nyumbani haitafka ck tatu atabeba mizigo yake na kupotea

Usifanye kwa kuonea muogope mungu

Una tatizo la mahusiano, nyota, nguvu za kiume, biashara, kazi nk 

0621442936


Comments

  1. Mafunzo yapo vizuri ila ninaomba utupe na elimu ya tiba za watoto wachanga hususani tatizo la michango kwa watoto

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI