FAIDA ZA MTI NA MAJANI YA MKUNAZI KATIKA TIBA ASILI

FAHAMU KUHUSU MMEA WA MKUNAZI

MTI huu hupatikana sana ukanda wa pwani hasa Zanzibar pwani yenyewe na Tanga. Karbu katka mfululizo wa makala zetu zinazohusiana na mimea km ulipitwa tembelea wall yangu au pitia www.tabibuasili.blogspot.com.

Mti huu ni mujarabu kwa mapenzi kutoa sihiri, kujikinga na wachawi, nguvu za kiume, pressha sukari hakika ukiwa na mti huu basi una kliniki nyumbani.

Hapa ntazungumzia faida za majani, unga na magome ukihitaji masomo zaidi ntatoa group la whatsap namna ya kutumia Mafuta yake sambamba na mambo meninge.

Mti huu ukichukua mzizi wake ukachemsha ukanywa kwa manuiz yoyote utajayemwendea shda yako atakusikiliza. Na Wale wagumu kutoa pesa unga wake unahusika

Kutoa sihiri mwilini

Wake wanaoota wanakmbizwa wanakabwa wanakula

Chukua unga wa mkunazi Tia kwenye chai tumia kwa ck 3 Kla ck weka mpya

KIFUA SUGU

Chukua majani ya mkunaz chemsha pamoja na ndimu kisha unywe kwa siku 14 utapona, kila ck tengeneza mpya

Hii haihusian na tb wala pumu

KUDHIBITI WACHAWI NYUMBAN NA SHAMBANI

chukua MAJANI YA MKUNAZI kisha weka HAIJALI na FAYJALI loweka pamoja na usomee kisomo cha KHAWAATIMU, kisha umwage ndani ya nyumba au shamba na wachawi hawatokujia tena kukudhuru.

Presha na sukari

Chukua majan ya mkunazi 21 weka kwenye sufuria fikicha yatoke Malibu kisha Chuja

Somea aya za kurani 99 zozote unazozjua Kisha mgonjwa anywe Lita moja kwa ck ndan ya miez mitatu

MAAJABU YA MTI HUU mti huu ni sawa na mti wa mzaituni akiupanda mtu mwenye roho mbaya hauot Na kwenye mti huu akpita mchawi uck lazma anase

KUHUSU MAFUTA NA MAGOME NTAONGELEA MAKALA ZIJAZO

Una tatizo la Hedhi Uzazi Nguvu za kiume Biashara Kazi Nk 0621442936

Wanaohitaji group usiweke meseji hapa kuna namba zimewekwa tafadhali fuata hizo namba usiweke namba zako hapa unaweza kutapeliwa namba zangu nimeziweka piga simu ama tuma ujumbe whatsp

 www.tabibuasili.blogspot.com

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI