TIBA YA KUMALIZA VINYWELEO VINYOLEO 'MALAIKA' NA NDEVU KWA WANAWAKE

JINSI YA KUTOA VINYWELEO KWA WANAWAKE 

 HABARI za muda huu mpenzi mfuatiliaji wa makala zetu kupitia webiste ya hii ama page ya mtabibu Asili tz kule facebook na instagram. Leo nawapa njia ya kumaliza vinyweleo usoni na miguuni.

kwa wanawake kwanza mwanamke kuwa na vnyweleo husababisha na hommon inballance, Wakat mwingine husababishwa na utumiaji wa vipodozi vikali ambavyo vnapelekea mwanamke kuvurugika hommon zake na kupata muonekeno wa kiume. 

 Lakn pia si tatizo kubwa sana maana wapo watu wanapendeza zaid wakiwa vinyweleo. KUna baadh ya wanaume hujckia raha wakkutana na mwanamke mwenye vinyweleo ila inapozidi huwa kero sasa leo tufahamu njia za kumaliza

 VINYWELEO VYA USONI MAHITAJI  MAANDALIZI 

Vitu vinavyohitahika ni Uwatu na kunde kavu ( uwatu unapatikana maduka ya dawa za asili kunde ni masokoni)

chemsha kunde na uwatu kipimo cha kiganja chako ikishachemka iache ipoe weka kwwnye bakuli ponda ponda ongeza vjko vtatu vya assli hakikisha kunde unazichambua maganda kabla ya kuchemsha utapaka maeneo ya usoni yenye vinyoleo.

Kwa wanawake wenye ndevu yakupasa upate dawa ya kula kwa ajili ya kutibu mfumo wa ndani kurekebisha homon kwa wahitaji dawa fanya mawasiliano kwa namba zilizowekwa

 VINYWELEO VYA MIGUUNI MAHITAJI

 Sukari nyeupe au ya kahawia kikombe kimoja. ii. Maji vijiko viwili vya chakula. iii. Juisi ya Limao kijiko kimoja na nusu cha chakula. iv. Chumvi ( Optional ) kijiko kimoja cha chai. MATAYARISHO YAKE : Changanya vitu vyote vilivyo orodheshwa hapo juu kwenye sufuria na upashe kwenye moto wa kiasi. acha vchemke mpaka vibadilike rangi kwenda kahawiya ipiua iache ipoe itakuwa tayari kwa matumizi paka mara mbl kwa ck ihfadh kwwnye chombo cha plaatic unapotaka kupaka ipashe kidogo

JITAHIDI KUSOMA MAELEZO KWA UMAKINI SANA NMEELZA KILA KITU KINAPOPATIKANA.

KWA MWENYE KUHITAJI DAWA ILIYOTAYAR AMBAYO MATUMIZI YAKE NI KULA NA KUPAKA ILI KUTIBU NDANI NA NJE FANYA MAAWASILIANO KWA NAMBA ZANGU NAREJEA TENA KWA MWENYE UHITAJI WA DAWA TU

 KWA MATATIZO MENGINE NICHEK 0621442936

JITAHIDI KUPIGA SIMU IKIWA UNATUMA UJUMBE BASI UWEKE MAELEZO YA KUTOSHA IKIWEMO JINA PAHALA ULIPO NA SHIDA HUSIKA JUMBE FUPI FUPI KAMA MAMBO HELLOW HABAR NIAJE MAMBO SITAZIJIBU HESHIMU MUDA WA MTU

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI